Namioneeni huruma kiasi flani! Hivi hamuelewi Mchesti wa kiivo unaendana na Mbilimbi ?
sutsfaction with Bamiaisms ? Is't demandable or marketable ?
Nimegundua watu wasio na mazoezi wana maneno meeeeengi,nadhani hii ni deffensive mechanism
mkibeba vyuma msije mkapitiliza, mwisho wa sikumkawa mivifua mikubwaaaaaa, makalio vidunchu na vijimashine........
Vyuma mbebe kwa kiasi.....
Ila mwanaume kazi ya umodel ya nini?(huu ni mtazamo wangu tu....)
yum! sweet man candy... I want him in my bed NOOOOOOOOOOOOOOW
+10ooooh yeah.....this is mwanaume.......
unationea huruma......usinchekeshe we shem....
hivi unadhani kwa nini namng'ang'ania bebii wangu......?
sema hapa hapa nikusikie..
ooooh yeah.....this is mwanaume.......
ha ha ha....!nimejaribu kucheka kwa loudspeaker lakini nimeshinda kwa sababu ulivyotaja kama umemjata jamaa yangu hivi mfano.mashine........
Hata kidali cha njiwa poa, mradi account inakitambi.
M'fua hin'haa!
Mashine kiduuuchuuu!
Inalipa ?
Labda !
Mie sijui .
Kwa nini sijui ?
Sababu mi ni consumer !
ooooh yeah.....this is mwanaume.......