alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja. mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha. Ilivyo isha mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu. baada ya kufuatilia wakaona ni kweli. mzungu akaomba waongee mahinda kakataa. Mzungu kapanda ndege kurudi kwao. baada ya mda mahinda akauwawa. je hapo kuna uhusiano kati ya mzungu na kifo?. mwenye details atusaidie.
Gavana bot
Waziri katika serkali ya sasa?Marehemu Nicas Mahinda alikuwa ni Mbunge wa Morogoro Kaskazini na waziri wa Maliasili na Utalii na baadae waziri wa viwanda.
Ilisemwa wakti ule kwamba watu wasiopungua 30 waliruka ukuta wa nyumba yake na kufanya mashambulizi ya risasi na hatimae waziri huyo akauawa.
Watu wasiopungua 25 walikamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Hivi yule kijana ambae polisi walisema ndie aliemuua Profesa Nicas Mahinda nakumbuka alitajwa kwa jina la Franco William aliishia wapi.
Kwa kumbukubu zangu Nikas Mahinda alikuwa NAIBU waziri. Ni muda mrefu huenda kumbukumbu zinapiga chenga.Marehemu Nicas Mahinda alikuwa ni Mbunge wa Morogoro Kaskazini na waziri wa Maliasili na Utalii na baadae waziri wa viwanda.
Ilisemwa wakti ule kwamba watu wasiopungua 30 waliruka ukuta wa nyumba yake na kufanya mashambulizi ya risasi na hatimae waziri huyo akauawa.
Watu wasiopungua 25 walikamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Hivi yule kijana ambae polisi walisema ndie aliemuua Profesa Nicas Mahinda nakumbuka alitajwa kwa jina la Franco William aliishia wapi.
Lakini kumbuka kuwa alikuwa na bifu na wahindi wa Morogoro kwa kuwa walidhani kuwa huwa anafunua chupi ya shamim Khan, kama hujui tuachie sie wazee wa muji kasoro bahari.
Gavana wa BOT alikuwa marehemu Gilman Rutihinda.
Ila hawa marehemu walikuwa wakichanganya watu kwa majina yao.
Asante kwa fafanuzi.Ni kweli Prof. Nicas Guido Mahinda alikuwa Naibu Waziri, si Waziri. Ilikuwa katika serikali ya Mwinyi mwishoni, lakini alivuka na kuingia awamu ya Ben ya kwanza.
.