Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

Mimi nikiwa Rais hakuna atakayekufa Kwa kuikosoa serikali!!

Yaani naamini katika spinning. Team ya kisaikolojia zaidi!!

Hivi system unashindwaje kipropaganda na mtu mmoja!!?

Kumuua mtu mmoja kisa eti anaikosoa serikali ni uzembe wa serikali yenyewe!!

Stan asingetoweka kizembe Lisa loliondo mbona Bandari imeenda bila mwandishi kwenda !!?

Kumpoteza mtu kisa mawazo kinzani ni uwezo hafifu was dola kama kweli imehusika kumpoteza mhusika!!

Team spinning no njia nzuri zaidi ya ku deal na wakosoaji!!
 
Dah umenikumbusha enzi nanunua magazeti kusoma.
Nikiwa binti kabisa nilikuwa so interested kusoma habari za kichunguzi, zilikuwa makala ndefu ndefu zinasisimua kweli kweli
 
Hapo kwenye bold tutake radhi mkuu.

Mwinyi hakuwahi kufanya hivyo nakumbuka serikali ilipiga kimya sana kutoa maelezo. Unakumbuka baada ya kauli ya Mgumia kuwa anapokea maelezo haukupita muda akaondolewa Uwaziri na kupelekwa Mkuu wa Mkoa?
 
Unajaribu kuchafua legacy ya mzee wa miaka 98
 
Hapo kwenye bold tutake radhi mkuu.

Mwinyi hakuwahi kufanya hivyo nakumbuka serikali ilipiga kimya sana kutoa maelezo. Unakumbuka baada ya kauli ya Mgumia kuwa anapokea maelezo haukupita muda akaondolewa Uwaziri na kupelekwa Mkuu wa Mkoa?
Nakumbuka mkuu
 
Kwanini waislamu mnajistukia sana? Kwasababu hiyo hali nishaiona kwa wapuuzi wengi wakiislamu ukimkosoa samia tu utasikia kisa ni muislamu aisee hakuna watu wapumbavu kama waislamu
 
Hili ndio doa kubwa aliloenda nalo kuzimu muda sasa kakutana na Katabalo.Gazeti la Mfanyakazi enzi hizo tunalipigania kama Peremende.
 
Tatizo la ishu ya Loliondo ni kutendeka kwa unyama mwingi sana. Mzee wetu alitukosea sana na sidhani kama alishawahi hata kuomba msamaha. Kuuza sehemu ya nchi ni kukosa uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…