Kifo cha sharo milionea

Kifo cha sharo milionea

abunerimgaya

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
78
Reaction score
15
Omama,nakufa men,sijapenda
men bado naipenda dunia
men..izraeli usiniguse men
unanichafua men... oma gad...
Ndo maneno aliyetoa sharo kabla
ya kukata roho yake.
 
du kwel nimeamin kujua kusoma na kuandika na kutumia computer si kigezo cha mtu kutokuwa wendawazimu, ishu mzito kama hii kwel unaweza kutania kama sio ulimbuken wa kupata nafas na muda nini
 
Kifo kinaweza kumpata mtu yeyote hivyo basi unpoleta utani kwenye kifo cha mtu fulani ujue unawaumiza watu wengine, kuwa makini broo.mhhhh
 
Back
Top Bottom