Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,496
Reaction score
2,750
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je, ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sitta kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabahi Sitta hakwenda na Mama.

Pili, Lowassa amekuwa akisifiwa kuwa na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sitta asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.

Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikuwa macho yangu kupoteza umakini maana na yeye sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekuwa anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaidi shamba kuliko kumuaga Spika wake.

Ni hayo tu
 
Anyway acha niseme kidogo! Yawezekana pia huo ukawa ni mtazamo wako ambao unaweza pelekea kuweka assumption nyinginyingi, nikianza na hoja ya mama wa taifa sina ushahidi kuwa alizimia! Na kama kweli basi si lazima mtu awe ndugu yako ndio uzimie hapo ni suala la emotional au inspire! Ajari ya MV bukoba iligusa wengi na wengine kuzimia! Mzee yule alikuwa mzee wa watu anayesaidia, kwani bwana mdogo Paul makonda angezimia tungesema ndugu yake? Ila kwa sababu alisaidiwa mpaka kufikia hapo ndio maana ya kulia sana, ndugai, mwakyembe na wengine wengi waliozimia hukuwaona!!? Suala la lowasa kutoonekana! Kuna wakati unaweza kuzuiwa na daktari wako usihudhurie eneo la matukio ya kuumiza kutokana na tatizo ulilonalo wakati huo so hiyo inaelezeka ndio maana hata tetemeko la bukoba hujamuona mkuu wa nchi hutegemeana na maelekezo ya madaktari au washauri wa karibu unaweza kutunguliwa! Kuhusu mtoto wa mkulima nikurekebishe kidogo alikuwepo Dodoma na aliaga mwili hukuwa makini tu kuona ila tuliokuwepo Dodoma tulimuona na kusalimiana nae! Nawasilisha @ mhigwa one!
 
Naongezea Mfano.
Mzee Mandela alizuiwa na madaktari wake kuja ktk msiba wa Mwl.Nyerere..
Sina uhakika kama Hayati Samuel Sitta aliwahi kumtusi Mh.Lowasa juu ya Afya yake....manake naye ana moyo wa nyama huumia na kupata uchungu.
 
Sina hakika lakini ,nimewaza tu na hawa wachache waliowaza Kama Mimi nkaona tuje tupate na ya humu

Je ni kweli Mama wa taifa alizimia na kujikuta yupo Muhimbili baada yakusikia Sita kafariki?

Kama ndiyo, ni kwanini iwe hivyo? Kwani ni ndugu? Inasemekana hata baba alivyoenda Masaki kumsabai Sita hakwenda na Mama.

Pili, Lowasa amekua akisifiwa kua na roho nzuri na ya kusamehe mahasimu wake, vipi ktk msiba wa mzee Sita asionekane popote? Si Masaki, Karimjee wala Bungeni.
Au nna kiherehere tu ,maana huenda leo akaibuka Urambo kumuaga Spika wake.

Asipotokea basi ule wema wake ni wa kaole.

Tatu, hivi mtoto wa mkulima baada ya kuenguliwa na mzee wa msoga kule Dodoma siku ile ndiyo ilikua basi tena? Au yalikua macho yangu kupoteza umakini maana na yy sijamuona Masaki, K, mjee wala Bungeni.

Angekua anatumia gari yake tungesema Katavi-Dar ni mbali, labda uchumi unambana. Anyway, huko kwao ni msimu wa kuandaa mashamba ,labda kathamini zaid shamba kuliko kumuaga Spika wake

Ni hayo tu
Pinda, augustino ramadhan na malecela walikuepo dodoma bungeni mpaka kassim majaliwa ndio aliwatamburisha......

Lowassa kutokuepo dar sidhani kama ni point sana coz mbona hata kina ngeleja hawakuepo, kalamagi, shein etc
 
1478929800996.png
1478929812584.png
 
Naongezea Mfano.
Mzee Mandela alizuiwa na madaktari wake kuja ktk msiba wa Mwl.Nyerere..
Sina uhakika kama Hayati Samuel Sitta aliwahi kumtusi Mh.Lowasa juu ya Afya yake....manake naye ana moyo wa nyama huumia na kupata uchungu.

Kuna mdau mmoja aliweka bandiko hapa jinsi mzee Sitta alivyomtusi Lowassa kuhusu afya yake
 
Kati ya yote kuna kimoja kiko wazi sana japo hujakitaja FIRST LADY wetu hapewi heshima anayostahili popote ,

Heshima gani unayoiongelea wewe? Heshima kama mke au heshima kama first lady?

Heshima kama mke mbona anayo tu tena ya kutosha!?

Kama unaongelea heshima yake kama first lady.

Mkuu tuwekee wazi hapa kifungu gani cha katiba, sheria,kanuni, mwongozo kilichoweka hizo heshima ambazo wewe unasema hapatiwi huyo first lady?
 
Ndugu zangu hakuna propaganda mbaya kwenye maisha kama uzushi na uongo! Yote yanayoongelewa hapa ni emotional but emotional hizo zaweza pelekea ufanye vizuri au vibaya! Mbaya zaidi kuna watu watatumia msiba wa mtu kujitafutia umaarufu na kujijenga kisiasa!

Kama kuna anayefurahia kifo cha adui yake hana tofauti na mnyama anayekuta mwenzie kafa na kuanza kumla nyama!

Nasema tuache propaganda chafu kama kweli kuna sherehe inafanywa na watu sababu ya kifo cha Mzee wetu sitta naomba picha au video zenye mabango yanayobeba content ya sherehe hiyo tofauti na hapo ni majungu na uhafidhina! Sisi ni wasomi jamani japo sijui viwango vya kielimu na uelimikaji uliobebwa na kila mwana jamvi!

Siko upande wowote wa chama kama raia mwema napenda kusimamia ukweli na kukosoa kitu kiitwacho propaganda hasa ninapogundua kitu! Over!!!?
 
Back
Top Bottom