Kifo cha mapenzi

Kifo cha mapenzi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,068
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie tushiriki uzoefu , kwakuwa yaweza kuwa tiba kwa wengine...!
 
Kila kifo kina mbwembwe zake sawa na staili za uanzishwaji wake hazifanani kamwe.
 
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie tushiriki uzoefu , kwakuwa yaweza kuwa tiba kwa wengine...!


Mapenzi yakifa yanaumiza moyo, hata hivyo huzikwa na kusahauliwa mapenzi mapya yanapoibuka. Ikitokea ucheleweshwaji wa penzi jipya, maumivu huendelea. Cha kufanya hapo ni kutafuta mpenzi mpya kabla ya penzi la zamani halijakata roho.
 
Matokeo ya kifo cha lov yanategemeana na kutofautiana kutokana na lov yenyew ilivyokuwa btn hao watu....if t was da 1 sided lov,,ie.only one party was really hvng da true lov to the other the end of relationshp will only affect one party...
 
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie tushiriki uzoefu , kwakuwa yaweza kuwa tiba kwa wengine...!

hata ufanye nini lazima maisha yaendelee mbele,so ni uamuzi wako aidha uanze kusonga mbele mara moja au ujicheleweshe kwa mawazo na kupoteza muda kabla ya kusonga mbele.
 
Mapenzi yakifa yanaumiza moyo, hata hivyo huzikwa na kusahauliwa mapenzi mapya yanapoibuka. Ikitokea ucheleweshwaji wa penzi jipya, maumivu huendelea. Cha kufanya hapo ni kutafuta mpenzi mpya kabla ya penzi la zamani halijakata roho.

Yes, hatariiiiii
 
Sasa ww unataka watu wasiwe waaminifu katika mapenz yao....
 
Kifo cha mapenzi au kifo cha mpenzi? ufafanuzi tafadhali
 
Illussion, confusion, vitu kama hivo hutokea cha msingi ni kuacha kupenda mpaka unaumimina moyo wako hapo, iweni na kiasi,,
 
Kina maumivu yake tena ni mabaya mno, omba tu Mungu wako kisikutokee
 
Mbaraka mwishehe aliimba... Kifo cha penzi ni kifo kibaya.... Usikiombee!

Ukiwa na mapenzi ya dhati kutoka moyoni, kifo cha penzi hupelekea kufa pia kwa baadhi ya wapenzi, kufa kwa depression na suicidal, kupata magonjwa moyo, kuwa na abnormal behavior katika society ukiwemo ulevi ulopindukia, umalaya, na mwisho wa siku magonjwa ya njia ya kujamiiana.
 
Back
Top Bottom