Amepigwa vita sana na hata aliowaamini na kula nao kama marafiki na wandani lakini kumbe they were "friends in need".
Ndiye mwanasiasa aliyepigwa vita sana tena vikali na kwa muda mrefu zaidi Tanzania, but the guy is as fit as feedle!
Ameandikwa sana kwa mabaya kwa hisia na chuki zilizoishibisha mioyo ya wanafiki, wazushi na wazandiki miongoni watawala wa taifa hili na familia zao.
Amesalitiwa sana na hata aliowakuza, kuwatetea na kuwalea mikononi mwake lakini hana kisasi! .
Amezushiwa kufa lakini naamini atahudhuria mazishi yao kwanza!
LOWASSA IS A BRONZE SNAKE!