Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
chadema ndio waliompinga na kututangazua kwamba fisadi pale mwembe yanga.
Na kubenea ndiye aliyemwandika kama fiasdi no 1 lkn leo wapo naye.
Waache wale matapishi yao sisi lowasa atabaki kuwa fisadi
Mawazo yako yanaongozwa na falsafa ya UPEPO aisee, maana upepo ukwa na harufu ya ushuzi bado ni upepo tu ndugu, ukijichanganya na harufu ya manukato bado jina halibadiliki, ni upeeepo tu, ukiwa na harufu ya moshi!! ni upeeepo tu bana. ILA KUMBUKA binadamu hatukuumbwa hivyo. Tabia zetu zinabadilika badilika ndo maana leo mwema kesho mmbaya, leo Mkatoliki kesho Muislamu, laeo mlokole kesho mpagani. Sasa kama wewe utashikilia tabia zile TULIZOZIACHA MISRI, ZILE ZA WAKATI ULEEEEEEEE WA FARAO. Leo hatuko nazo tena huku Kanaani ndugu. Lowassa lao ndo kiongozi wetu mkuu piga ua garagaza, yuko ukawa na si Lowassa yule aliyekuwa ccm, Labda unamfananisha kwa siasa yako yenye mrengo.