Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

Kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 jeshini

real CAG

Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
20
Reaction score
49
Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya).

Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu,na mbaya zaidi operator akaondoka na kuwaacha wao peke yao. Badae mikanda ikatoka na kumvutia kwenye mashine na kumchanachana mpaka kifo.

Je, ni kwanini operator aondoke wakati anajua kuna ubovu?

Halafu huu utaratibu wa kuwapeleka watoto JKT na kushindwa kuwasimamia lilishapingwa sana kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa namna mbalimbali unaofanywa huko kwa mgongo wa kuwafunza uzalendo.

Rais Samia huyo kijana aliyefariki kwa uzembe utaiambia nini familia yake? Maumivu makali ya wazazi na ndugu wanapona vipi?

Huu utaratibu wa Jkt ni uumizaji kwa watoto wetu na hauna tija.

R.I .P Franco Winfred Ngazi mdogo wangu, Mungu akubariki upumzike kwa amani, damu yako itakuwa na jambo siku za usoni.
 
Mwanangu wala mtoto wa ndugu yangu ambae yuko karibu na mimi hawezi kwenda huko kupoteza muda. Huo muda bora nimepeleke kijijini akachunge ng'ombe ama hata akalime chochote.

Watoto wa viongozi hawaendi JKT kupoteza muda. Hata wakati ule wa Mwinyi, Husseni Mwinyi hakwenda JKT. Ndio maana juzi waliwaka sana pale kazi zilipotangazwa kwa kigezo cha JKT, wanataka waingize watoto wao kazini ila hawana vyeti vya JKT, wameondoa hicho kigezo cha ajira ili watoto wao wapate kazi kwenye majeshi. So if that is the case, why upoteze muda wa kupeleka watoto wako huko

JKT is a wastage of time and resources. Haina faida yoyote kwa mtoto.
 
Hili swala mheshimiwa raisi aliangalie kwa jicho la tatu.

Kuna manyanyaso yanaendelea kwenye mafunzo tena wakiyafanya kwa kisingizio cha uzalendo

Hapo kipindi cha nyumba, Kuna msichana alinisimulia kubakwa na mwanajeshi nilishangaa sana

Watoto wa kike wamekuwa ni chombo cha starehe tena kwa kutishiwa
 
vijana wanainamishwa huko kwa kisingizio cha 'kuchunguzwa' wakati UNESCO ishasema hayo mambo ni ukatili kwa binadamu
 
tatizo la taarifa zinazokuja bila ushahidi zina changamoto nyingi kwenye kuthibitisha ukweli wa taarifa hizo....so muweka taarifa useme hio taarifa umeipataje na ni kwelie imetokea kama ulivosimulia?
kama ni kweli hata ukipiga picha eneo la tukio au mmoja waa mashuhuda akizungumzia
taarifa yako haijajitosheleza kuithibitisha kua ni kweli au si kweli
sijabisha wala sijakubali......
kama kweli pole kwa familia na ndugu wa mareheemu hakika wote kwa Allah tutarudi.
 
Tusubiri taarifa rasmi.Mleta taarifa akileta wenge watamshughulikia kwa kuibeba dunia.
 
Huko kuna upuuzi wa hali ya juu sana.hapo watasema amefariki kwenye mafunzo wakati ni ujingaujinga tu.Huko jkt hakuna faida yeyote zaidi ya kutumikishwa kazi kama watumwa.wanadanganya kuwafunza uzalendo wakati wao wenyewe siyo wazalendo
 
Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya).
Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu na mbaya zaidi operator akaondoka na kuwaacha wao peke yao.Badae mikanda ikatoka na kumvutia kwenye mashine na kumchanachana mpaka kifo.
Je,ni kwanini operator aondoke wakati anajua kuna ubovu?
Halafu huu utaratibu wa kuwapeleka watoto Jkt na kushindwa kuwasimamia lilishapingwa sana kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na unyanyasajiwa namna mbalimbali unaofanywa huko kwa mgongo wa kuwafunza uzalendo.
Mama Samia huyo kijana aliyefariki kwa uzembe utaiambia nini familia yake? Maumivu makali ya wazazi wanapona vipi?
Fulani huo utaratibu ni uumizaji kwa watoto wetu na hauna tija.
R.I .P Franco Winfred Ngazi mdogo wangu,Mungu akubariki, damu yako itakuwa na jambo siku za usoni.
Huu ni uchochezi

USSR
 
Wabongo tupunguze uzwazwa. Kuna madogo wanang'ang'ania kwenda huko na hawana ndoto kabisa na kazi za usalama wa nchi au raia wake. Wanaenda kufanya nn?.

Mm tu mwenye ndoto za kuwa usalama na huko jkt sikwenda mana hakuna maana yoyote nje ya kusogeza muda tu. I do think about what make them feel proud to be there
 
Si tunawainamisha kidogo tu
Screenshot_20240729-121139_Chrome.jpg
 
Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya).
Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu na mbaya zaidi operator akaondoka na kuwaacha wao peke yao.Badae mikanda ikatoka na kumvutia kwenye mashine na kumchanachana mpaka kifo.
Je,ni kwanini operator aondoke wakati anajua kuna ubovu?
Halafu huu utaratibu wa kuwapeleka watoto Jkt na kushindwa kuwasimamia lilishapingwa sana kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na unyanyasajiwa namna mbalimbali unaofanywa huko kwa mgongo wa kuwafunza uzalendo.
Mama Samia huyo kijana aliyefariki kwa uzembe utaiambia nini familia yake? Maumivu makali ya wazazi wanapona vipi?
Fulani huo utaratibu ni uumizaji kwa watoto wetu na hauna tija.
R.I .P Franco Winfred Ngazi mdogo wangu,Mungu akubariki, damu yako itakuwa na jambo siku za usoni.
Karne ya 21 unapeleka vijana jeshini kuwafundisha kubangua korosho kwa machine iliyochakaa! Hii nchi imeoza,
Jeshini wangejifunza history ya jeshini, basic military training, mafunzo ya siraha, martial arts kidogo, sayansi, ya, Vita, sio kuwapeleka kulima, tena kwa jembe LA mnono, dunia IPO kwenye asrtifial intelligence sio upuuzi wa kuvunja jiwe kwa ngumi, au kichwa, makambi yenyewe,hayana hata miundombinu sahihi, computer lab, gym, nk
 
Back
Top Bottom