Kifo cha Kanumba kimekupa fundisho gani?.

Nimejifunza tena kwamba, maisha ya binadamu ni kama maua leo tunachanua kesho tunaanguka. maisha yetu ni kama mvuke katika upepo au mawimbi ya baharini...we can blossom, we can be great etc but soon or later we will be gone...
kwa hiyo basi nimejifunza, kumtafakari zaidi Muumba wangu anaye nipa fursa ya kuishi duniani kila siku,

Kifo hiki kama vifo vingine kimenipa changamoto ya kumuomba Mungu anifundishe jinsi ya kumpenda Yeye...
 
Kifo cha marehemu steven kanumba kimenigusa sana kwasababu msanii ambae nilikua nampenda ni yeye na ray kidogo lakini kanumba ndio nilompenda sana.kifo chake nahisi kimegusa watu wengi kwasababu kubwa moja nayo ni kimetokea ghafla nadhani angeumwa kwanza hiz purupushani zingepungua na pili ni umaharufu na tatu kupendwa... Na kutokana na kupewa promo kifo kimegusa hata yule aliekua hampendi..... Mwisho tutakutana huko huko kama tutakua tumetenda yanayofaa mbele za mungu
 
Back
Top Bottom