Imeandikwa wapi kuwa ukiwa "waziri mkuu huwezi kuibuka kwenye makanisani na kutoa opinion zako"? Halafu "kwenye makanisani" ndiyo nini?
Imeandikwa wapi kuwa ukiwa waziri mkuu basi "huruhusiwi kuwa na opinion in public"?
Na imeandikwa wapi kuwa "any publicly stated opinion ya Waziri Mkuu ni foreign policy ya nchi"? Imeandikwa kwenye katiba ya nchi?
Kwahiyo wewe unaamini kila kitu hadi kiandikwe
Imeandikwa wapi waziri mkuu kutoa opinion makanisani?