Mimi nadhani kama angekuwa si mnafiki kama walivyo viongozi wote wa ccm, angewaeleza wananchi yale ambayo ccm imejifunza kutokana na matukio ya Libya, siyo kuwaambia watu waombe Mungu. Anadhani Libya, Misri nk walikuwa hawaombi Mungu?Mzee pinda acha kuuma na kupuliza, chama chako ndiyo chanzo cha kuelekea huko leo, unasemea kanisani. Acheni kubaka demokrasia nchi itakuwa salama, Ghadafi alianza kwa kuua waandamanaji kama mlivyo fanya arusha na bado hamjajifunza! Siyo vizuri kujadili vibanzi vya wenzetu hu sisi tuna boliti machoni.
Asema anaamini kuuawa kwake si sahihi
Ahofia yanayotokea Libya kuingia nchini
Akizungumka katika misa ya mavuno ya Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jana ambako pia aliendesha harambee na kufanikiwa kupata Sh milioni 111.65 zikiwa ni fedha taslimu na ahadi,Pinda awataka Watanzania kuenzi amani iliyopo nchini kwani yanayoendelea katika nchi za jirani yanatisha na si ya kuomba yatokee kwa Watanzania.
"Tuangalie yanayotokea Libya, si mambo mazuri hata kidogo. Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Gaddafi si sahihi hata kidogo, ni bora angekamatwa akashtakiwa kuliko watu kujiamulia kutoa roho ya mtu mwingine hivi hivi. Watanzania tuombeane tusifike huko," alisisitiza.
kwamba ya Libya yatawakuta tu.
Waziri Mkuu huwezi kuibukia kwenye makanisani kutoa opinion zako, huruhusiwi kuwa na opinion in public, any publicly stated opinion ya Waziri Mkuu ni foreign policy ya nchi, huwezi ku supplant statement za Bernard Membe ambazo zimepata approbation ya Ikulu.
Akizungumka katika misa ya mavuno ya Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jana ambako pia aliendesha harambee na kufanikiwa kupata Sh milioni 111.65 zikiwa ni fedha taslimu na ahadi, Pinda awataka Watanzania kuenzi amani iliyopo nchini kwani yanayoendelea katika nchi za jirani yanatisha na si ya kuomba yatokee kwa Watanzania.Asema anaamini kuuawa kwake si sahihi
Ahofia yanayotokea Libya kuingia nchini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, hakiku sahihi.
"Tuangalie yanayotokea Libya, si mambo mazuri hata kidogo. Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Gaddafi si sahihi hata kidogo, ni bora angekamatwa akashtakiwa kuliko watu kujiamulia kutoa roho ya mtu mwingine hivi hivi. Watanzania tuombeane tusifike huko," alisisitiza.
Source: Nipashe
My Take: Iwapo CCM wataendeleza jadi yao ya kubaka demokrasia na kuchakachua katiba ili watawale daima, wajue wazi kwamba ya Libya yatawakuta tu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, hakikuwa sahihi.Asema anaamini kuuawa kwake si sahihi
Ahofia yanayotokea Libya kuingia nchini
Akizungumka katika misa ya mavuno ya Parokia ya Mtaka
Hofu yao ni juu ya maovu na manyanyaso wanayowafanyia watz so wanaogopa kibao kisiwagekie
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Kiongozi wa Libya, Muammar Gaddafi, hakikuwa sahihi.
.