Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Hivi kwa mfano Marehemu muislamu alikopa kwa mtu mfano mkopo wa kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kwa miaka 20 akiwa na kaduka kake kadogo akifa mfano mwezi wa kwanza wa Deni Hilo Deni atalipa Nani Kama Mali za Marehemu hazifikii hata asilimia moja ya deni?
 
Wale ni wake nasikia walipandikiza
 
Kwa mfano ungekuwa ndiye mke wa Mengi alafu ndio kikatokea kifo chake unajua ungerithi asilimia ngapi ya mali kwa kutumia sheria za kiislamu? Hiyo raha usingeisema hapa zaidi ungekufa na shambulio la moyo
 
Kwa hiyo unataka wote tuongozwe na sheria ya dini yako sio?
Bado tupo kwenye maombelezo ya kifo cha Mengi na Kule Sri Lanka.
 
Naomba unifafanulie hapo juu mama mkubwa sijakuelewa kabisa.
 

Kwa mara ya kwanza tangu nimejiunga na JF nimeona una akili.
 
...Una point kubwa hapo, Dada FF...
 
mmh zile pacha asee ni kopi kabisa TENA UKIMUANGALIA YULE REGINA NDIO UNADHANI AMEWAZAA
 
Uislam ni dini nzuri tu, tatizo ni pale mnapouchanganya na uarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…