Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mungu wangu, waswahili 100% ni waislamu!!!!! Mnajikanganya sana kumbe Muhammad alikuwa ni mswahili... . mungu wenu kumbe ni mswahili pia
 
Word
 
Kwa hiyo unataka kumshauri mjane wa marehemu asilimu?

Au unataka kusisiriza kwamba marehemu alitakiwa kusilimu kabla hajafa?
 
People who like to talk about others have nothing to present about themselves
 
Lisemwalo lipo....kama Jaq kafanya hayo madudu basi ni hatari....Ngoja Tusubiri Chahali wa Twitter atupe update na tukisubiri update ya Mange baada ya kufungulia.

Mange kama ulianza kumsoma zamani kwenye u-turn blog yake utajua huwa hana cha kutulia bila kuwashwa kuongelea jambo. Kwa sasa anatumia akaunti zake feki.. haswa moja feki ndio anainogesha akiamua tangu mfungo uanze hadi kesho.
 
Kwa hiyo unataka kumshauri mjane wa marehemu asilimu?

Au unataka kusisiriza kwamba marehemu alitakiwa kusilimu kabla hajafa?
Uislam raha sana. Usome uuelewe.

Wote tunatakiwa tujisalimishe kabla hatujafa, Kama hukujisalimisha kwa muumba ujisalimishe kwa nani?
 
Astaghafilulah... Tuache uongo kipindi hiki cha mfungo dada yangu. Kwa nini kusema uongo mbele zake waja? Hata wakati tumefunga bado tuna danganya?

Duh husemwa Mengi mara baada ya mtu kufariki, Mzee wetu Mengi alikuwa mgonjwa siku nyingi sana tu.
 
Mkuu uislamu unafundisha kuoa watoto chini ya miaka 18 na kulelewa na majimama?
 
Uislam raha sana. Usome uuelewe.

Wote tunatakiwa tujisalimishe kabla hatujafa, Kama hukujisalimisha kwa muumba ujisalimishe kwa nani?
Wanawake wenzako huko Iran na Saudi Arabia wanalia na kulia kwa manyanyaso ya uislamu dhidi yao hivi juzi waliruhusiwa kuendesha gari wakashangilia. Huko mwanamke anabakwa na bado anahukumiwa amezini
 
Wanawake wenzako huko Iran na Saudi Arabia wanalia na kulia kwa manyanyaso ya uislamu dhidi yao hivi juzi waliruhusiwa kuendesha gari wakashangilia. Huko mwanamke anabakwa na bado anahukumiwa amezini
Naona unachanganya mambo, onesha Uislam wapi umekataza mwanamke kuendesha gari.

Usichanganye mambo ya Saudi Arabia na Uislam.

Ni kama vile Vatikano 80% ni mashoga, ukristo ndiyo umefundisha wawe mashoga?
 
Waswahili ni watu wa pwani...ambao lugha yao ni kiswahili... haijalishi ni wa dini gani..japokuwa wengi wao ni waislamu.
Waswahili ni matokeo ya muunganiko wa tamaduni na mila za kiafrika na kiarabu
 
Naona unachanganya mambo, onesha Uislam wapi umekataza mwanamke kuendesha gari.

Usichanganye mambo ya Saudi Arabia na Uislam.

Ni kama vile Vatikano 80% ni mashoga, ukristo ndiyo umefundisha wawe mashoga?
Saudi Arabia ndiyo dini na tamaduni ya uislamu ilianzia . Nchi za Saudi Arabia na Iran zinaendeshwa kwa sheria za kiislamu. nawasifu wanawake wengi wa kiarabu kwa kutunza bikra ila upande wa pili ni bilaa na mshangao
 
Si kweli, kuna ujinga aidha umejijazá mwenyewe au ulisoma shule za kukufundisha ujinga.

Saudi Arabia ni nchi iliyoanzishwa 1932 kwa msaada wa Uingereza, miaka michache kabla ya kuanzishwa Israel.

Uislam upo toka mwanaadam wa kwanza na kabla yake. Kumbuka hilo.
 
Kwa hiyo unataka wote tuongozwe na sheria ya dini yako sio?
Bado tupo kwenye maombelezo ya kifo cha Mengi na Kule Sri Lanka.
Mwambie alieleta huu udaku aufute maana bado mpo kwenye maombolezo, Sasa udaku wa nn wakati maombolezo hayajaisha
 
Kwa mfano ungekuwa ndiye mke wa Mengi alafu ndio kikatokea kifo chake unajua ungerithi asilimia ngapi ya mali kwa kutumia sheria za kiislamu? Hiyo raha usingeisema hapa zaidi ungekufa na shambulio la moyo
Watu hawaangalii kiasi gani ulichorithi Bali wanaangalia ulichorithi ni haki yako
 
Siku zote wachanga kwenye swala la Mali hua ni watu hatari Sana , yaani hapa litajengwa figisu figisu ya aina yeyote ili tu ionekane dada wa watu Hana haki ya kurithi Mali yeyote aisee, mbona hata ivo mzee kala chumvi Sana muacheni apumzike na kifo chake ni kwa uwezo wa mwenyezi mungu

R.I.P Mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…