nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,508
Mungu wangu, waswahili 100% ni waislamu!!!!! Mnajikanganya sana kumbe Muhammad alikuwa ni mswahili... . mungu wenu kumbe ni mswahili pia
"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.
Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.