Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Wewe umethibitisha wapi kama sio yeye jackie ni muhusika ? Kwa nini mnapinga uchunguzi husifanyike , tunahitaji majibu ya kilichomuua Mzee that’s it , he was a public figure regardless Jackie ameusika au hajausika
Indeed Indeed!
 
Unadhani ni kirahisi namna hiyoo eeh. Eti Mke halali. Jamani Mke anashinda watoto?!??!?! Na ninyi ndio mliomponza rafiki yenu akawaamini kumbe haiendi hivyo. Na mali atazifaidi watoto wakifikisha miaka 18. Upo hapo?!?! Wakati huo yeye akiwa na miaka 58 sijui atakuwa na hamu tena ya shoppinmg za Dubai?!
 
Mkuu pesa pesa pesa pesa ni kila kitu..hata IVF ina range zake...Narudia pesa inaweza leta muujiza..technolojia hiyo ipo na inawezekana ni mfuko wako tu...
Andika maelezo ya kisayansi hapa niwapelekee wataalamu wangu wafanye critique
 
Mkuu kwani deni lisilokuwa na bima nalo pia hufa ama kufutika kutokana na kifo cha mdaiwa?
Kama sivyo, ni nani sasa anayestahili kulipa hilo deni la marehemu?
Deni la namna hiyo ni hasara ya mkopeshaji. Biashara ni pamoja na risks kama hizo.
 
IVF ni lazima upate zaidi ya mtoto mmoja maana ni mbegu nyini zinaingizwa kwa hiyi by chance zitazokuwa hai ndio hizo zinazotoa watoto unaweza kupata hata wanne
Hiyo ndiyo chance ninayozungumzia, na kwamba wanaweza kuwa jinsia yoyote. Sasa mwenzetu anatuingiza chaka kwamba walipanga kuwa wapate mapacha wawili wa kiume!
 
Mungu akubariki katika njia zako
 
Naye aliwaonyesha wao si chocote. Ulishuhudia kuomba msamaha pale?


Hata ningekuwa mimi ile ni aibu yake ya milele. na sio kwa Tanzania tuu ni kwa wengi waliomuona hakika ni aibu haswa Zero brain ni ngumu kuelewa kitu
 
Kwanini TISS watoe ulinzi?? Unafikiri Tanzania Intelligence and Security services hapo kwenye neno Security unaelewa maana yake? Kuna issues TISS wakiingilia si JWTZ wala Polisi watasogea!
 
Kwanini TISS watoe ulinzi?? Unafikiri Tanzania Intelligence and Security services hapo kwenye neno Security unaelewa maana yake? Kuna issues TISS wakiingilia si JWTZ wala Polisi watasogea!
was not worthy it kukujibu,maana inaonekana bado upo form two,ila ninakujibu kwa kicheko tu,kwa generations yako endelea kula AC hapo kwenye Ivory towel yako,ILA ONE DAY IT WILL CHANGE,inaonekana hata tiss huijui bali ni jina tu,ndio yale yale ya miaka ile kuwa eti tiss yetu its one of best duniani lakini imekuja kuonekana na upuuzi mtupu,nchi imegeuzwa shamba la bibi!!,sitakuja tena kukujibu bado sana kwa level yako kujibishana ,jitahidi uwe unasoma btn the lines!!!
 
Hivi unaifahamu lugha ya Kiha?
Kwanini majina hayo uyahusishe na Wanyarwanda na si Waha, Warundi au Waangaza!!!??? Mbona unatumia nguvu kubwa sana kuonesha chuki zako kwa dada wa watu!?
Ntuyabhaliwe ni Kiha kama ndalichako, Ntibhigenda, Ntahondi, Ntiyampahe, Ntawundi nk.
 
Waafrika /watanzania wanabaguana zaidi wenyewe kwa wenyewe kuliko hata wanavyobaguliwa na watu wa nje ya Afrika.
 
Kila uonekanapo we mwanamke lazima udini ukutakabari bila sonyi, wapi na wapi waislamu kuwa ndiyo waswahili binti yangu?

Mbona unataka kuvuna kundi lisilo na ujuvi wa mambo?.

Angalau ungesema wakoloni/waarabu waliokurithisha dini ya kiarabu ndiyo wenye kiswahili hapo ungeonekana umeongea mujarabu wakinifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…