Kifo cha CCM kimetimia

Mleta mada amepofushwa na masikio yake hayasikii tena ndio sababu analinganisha Chanya na Hasi, hajui madhara yake!
 

Kumbe hata hujui, katoliki lilikuwa na wengi sana na ndo hawa waliounda makanisa ya wokovu, kwa ufupi wengi waliokuwepo wamepungua na wataendelea kupungua.
 
Tulishaamhiwa mara nyingi kuwa CCM ni janga lakini naona tumesahau.
 
Huwezi kulinganisha waumini milio 17 WAKATORIKI na wanachama kama milioni mbili na nusu wa CCM
 
Itakuwa uwezo wake wa kuelewa ni mdogo kwa kufikiri Pengo ndo Kanisa Katoliki Duniani, kwa hiyo akiunga mkono ufedhuli wa CCM basi Kanisa limeunga mkono hivyo linafanana na CCM.
 

Sidhani kama wewe ni mkatoliki wewe....
 
watu wengine sijui huwa wanafikiri kwa kutumia nini?kuna uwiano gani kati ya kanisa na chama ,yaani ccm imekosa namna ya kujisafisha hadi inajilinganisha na kanisa
 

Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika we ulikuwa nchi gani??.
 
Huoni kazi kubwa anayoifanya kinana na sekretariat yake ya kusimamia na kuikosoa serikali inapojaribu kwenda kinyuma na misingi ya CCM?

anachofanya kinana ni usani wa kutumia elimu ndogo ya watu wa vijijini kuwalaghai. hakuna kingine.
 
Nilikuwa sijakuelewa kabisa mleta uzi, nikajua niyaleyale ya kura za maoni, kumbe ni jinsi Chama chetu kilivyo , mfano wako si mbaya
 
Mafisi kamwe hayawezi kufananishwa na kanisa that's pathetic

kama ni mafisadi wa kufa wapo chadema! chama gani kinakuwa na zaidi ya account 200 ? kazi yao kubwa kusema ovyo wakati menyewe ndo mafisadi ya kufa! shame on you all prochadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…