Kifo cha CCM kimetimia

CCM mizizi yake imeoza ndio maana imepoteza mitaa mingi katika uchaguzi uliopita na si ajabu ikaendelea kupoteza. Takwimu zinaonesha kuanzia mwaka 2000 imeendelea kupoteza viti vya Ubunge.

Hatunywi simu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele!
 
Utunzi wa hadithi ya kujitungia kama hii INATUFUNDISHA NINI?

Inatufundisha tusiwe waongo.Na pia tuheshimu IMANI za watu wengine hata kama hatuzipendi au kuziamini.
 

Kama MKATOLIKI naomba jitahidi KUHESHIMU IMANI ZA WENGINE hata kama hupendi.

Kanisa Katoliki haliwezi kamwe na halitaweza kuwa kama CHAMA CHA MAFISADI.Pole sana.
 
Admin kama ambavyo mmekuwa mnatoa Uzi za kijinga na kwa kuheshimu madhebu yote naomba uutoe Uzi huu. Unadhalilisha dini katoliki.
 

Wewe unakuja na dharau kubwa kwetu waislam nia yako nini?kafiri mkubwa weye
 
Wewe omba radhio yaani unalinganisha kanisa katoliki na ccm,omba radhi ntakuombea ban kwa moderator kama hujatubu hii tusi.
 
 
Kama wewe mleta mada ni mkatoliki na upo ccm. inabidi kanisa likufungie sakramenti
 
Huwezi ukatenganisha maisha ya dini na siasa. Hivi ni vitu vinaenda pamoja. Tusijidanganye. Ndo maana ccm imekosa mwelekeo baada ya viongozi wake kuweka dini pembeni na kuanza kufanya yao, ila wangekuwa na hofu ya mungu serikali na chama chao kisingetufikisha hapa tulipo.
 
Kama kanisa katoliki linafanana na ccm hakuna hata mmoja wao atauona ufalme wa Mungu. Bora waachane na hili kanisa.
 
watanzania tujaribu kupambanua mambo ,si si emu wakiona uchaguzi umekaribia hujipendekeza kweli kwa wananchi hata wakikukuta upo uchi wako tayari na wao Kuvua nguo Ila baada ya uchaguzi hakuna kinana wala ziara,tuwe makini sana mwaka Huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…