Kifo cha CCM kimetimia

Wapinzani wenyewe wameshindwa kujiimarisha kwa sababu ya tabia zao za ulafi, ubinafsi, ukabila na udini.
bora mchawi kuliko mnafiki hakuna chama duniani chenye watu walafi ,wabinafsi;wakabila ;wadini na wahuni wakubwa kama ccm
 
iangushwe na UKAWA wanaozomea???
hakuna mwananchi anaetaka fujo
huyu amelewa kiroba siyo akili yake ni wa kusamehe bure tuu ccm inatumia vijana wajinga kama huyu kama kondomu hakuna kijana anayejitambua yupo ccm
 
Hata KANU bado WaPo imara mpaka Leo
hawa ni ccm ni vipofu na viziwi hawajifunzi hata kwa majirani zao kenya ccm imesharikabia kufa ukawa ni sumu ya kuuwa ccm pamoja na vibaraka wake wote
 
 
Hakika wakati utatuambia kama si leo basi ni kesho maana kwa hili la chakachua ya Katiba lilipaswa kufanywa mapema na si vinginevyo. Na dhambi kubwa CCM waliyofanya ni Mkutukana Warioba na tume yake maana Watanzania tulio wengi tunaimani zaidi kwa Warioba kuliko kwa Wasira na Lukuvu na sielewi JK anamwamini nani zaidi kati ya hao ingawa nadhani naye ni kama sisi tuliowengi maana alisign ile Rasmu
 
Mawazo yako mkuu, chama kitaendelea kutetea wananchi kwa miaka mingi ijayo.

CCM haipo kutetea wananchi, ipo kutawala. Mfano wa kawaida sana angalia bei ya umeme na gesi.

Kama serikali ambayo inaongozwa na CCM imeshindwa kusimamia bei ya umeme basi ingetoa ruzuku kwa shirika la umeme ili mwananchi wa kawaida apate huduma kwa gharama iliyo kwenye uwezo wake.

Kwenye huduma muhimu kama hiyo mlaji atetewe na nani? Nafasi ya chama tawala hapo ni ipi?
 
Kwa mtelemko ulivyo mkali nimegundua mshauri mkuu wa JK ni yule KILAZA wa karne LUKUVi no luJIVI
 
Dhambi ya uchakachuzi wa rasimu ya katiba hautaiacha ccm salama! Ubabe wa Wasiraa na Lukuvi hautawapeleka mbali. Walipoteza muda kwa ujadili upuuzi bmk, wakamalizia na kuongeza kifungu cha kuwalinda kwenye kanuni. Hilo halitoshi wanataka waende wamalizie hizo siku 60 wakombeleze pesa zilizosalia azina.
 

A cha uto to Mutakyamirwa
 
Last edited by a moderator:
Tatizo so wazungumzaji wa CCM tatizo kubwa liko katika ushabiki wa watu Na
Pia moderators wamekuwa overwhelmed Na mashabiki kiasi cha kushindwa kuwadhibiti, midahalo inayofanyika inatakiwa iwe fine tuned siyo kuanza lawama, ilitakiwa ionyeshe njia kwenye usuluhishi
 
ccm wanaenda kufa vibaya mana wanakataliwa kila kukicha.wanalazimisha kukubalika kwa pesa.
 
CCM ni sikio la kufa,nyie mabuku saba tafuteni kazi mapema
 
uliona mbali sana ! Japo uliteleza kwenye siku rasmi ya kuanguka , ni hivi ccm itaanza kuanguka rasmi tarehe 5 mwezi huu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…