Narudia:Tena...nchi inayoongozwa na watendaji Amfundo mchuro ,na watu wa nanmna hiyo haiwezi fanikiwa wala kupanga kitu cha maana.Na tukiendelea jidanganya tutageuza nchi ambayo VIBARUA,MAFUNDI WANAWAPANGIA wenye site na foreman...ndipo tutakapoona jindi mafundi na vibarua wanavyokuwa rebellious...wakijagundua jinsi foremens,na wenye mrandi na contractors wanavyotembea na hela nyingi ,nadhani mwenye akili anaona nini kitatokea..Fundi asiyejua hayo mambo ya uongozi na ugumu wa kupanga mambo hadi yanayompa huyo fundi kuonyesha ufundi wake hiyo shida mtaiona.Nasema haya kwa vile serikali ya CCM LEO imejaa MAFUNDI JEURI...mafundi wanaotaka tudanganya kuwa UFUNDI WAO ULIOBOBEA KTK KUFUKUA MIAMBA NA MAWE UNAZIDI WALIOBUNI NA KUWAPANGIA HIZO KAZI,KUWA UMAHIRI WAO KTK KUFUKUA VYOO,MASHIMO NA ETC KUNAZIDI WALIOGUNDUA VIPAJI VYAO VYA KUKWATUA MAWE...na kuwatafutia pa kutumika ni wajinga.Nasema haya kwa vile naona sasa hivi kuanzia bungeni hadi wapi ktk serikali na establishments zilizopo kt mikono ya CCM mafundi hawapo kazini....sasa wapo ktk office za business planners....hawajui hata mtaji ,na mashine za kuweka migodi,kuweka viwanda waliofikiria na kuwekeza,walipopata mitaji walitumia akili na umahiri wa hali ya juu kuliko wanavyodhani kuwa skillz zao kufanya hizo kazi zinatosha shindanisha na wawekezaji,na wengine waliowekeza.Ningeshauri watanzaniaa sasa wajifunze kulinganisha mambo na mafundi wote warudi ktk vibarua wakaonyeshe utaaalmu wao huko.Bila hivyo hawa vibarua wataanza pambana na wawekezaji wa kitanzani wakishani wanashinda na vibarua wenzao ktk kupiga drill.....mbaya zaidi hawa vibarua na mafundi hawajui hawazewi hata shindana na waliogundua thaman ya hayao madini na watumiaji,kwani wakibadilisha sera tuu hawa mafundi wengi watakuwa USELESS ndipo wataona tofauti ya STRATEGISTS,Investors, and BUSINESS MEN.