wamwagie tindikali au walishe sumu kama kawaida yenu ......(wasiliana na henry kileo katibu wa chadema mkoa wa kinondoni akupe tindikali na lwakatare, mkurugenzi wa ulinzi na usalama chadema taifa akupe sumu)
Chadema hawana silaha kali zaidi nikiwaomba nyie SisiM na Polsisi.M mtanipa hata Prime over na vifaru kuweaondoa wanaokataa msile!wamwagie tindikali au walishe sumu kama kawaida yenu ......(wasiliana na henry kileo katibu wa chadema mkoa wa kinondoni akupe tindikali na lwakatare, mkurugenzi wa ulinzi na usalama chadema taifa akupe sumu)
Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
-------------------------------
Lazima ccm wachinjiwe baharini. Ongeeni chopa 3 na mengine yote ila mboreshe daftari la mpiga kura tu. MMEKWISHA!!!!
Wakati wananchi wengi wakiwa bado wanatafakari kwa miaka minane sasa kaulimbiu ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, ndio kwanza mazingaombwe ya maisha bora kwa kila mtanzania yanazidi kufunikwa na tongotongo za ufukara. Wananchi wengi wameishia kudhani kuwa umaskini ni jadi yao. Je ni lini CCM mtawaonea huruma wananchi na kuwapa maisha bora kama mliyo waahidi? Ndio kusema kwamba mmepoteza mishipa yote hadi mshipa wa aibu?
Chama hiki kimepoteza mvuto kabisa maana kila walichojaribu kufanya hakijafanikiwa na hakuna uwezekano wa kufanikiwa na kufananishwa na jahazi linalozama taratibu, na madereva wa jahazi hilo wanajaribu kuliokoa lakini na wenyewe wamezidiwa.
Kila kukicha ni afadhali jana kwa CCM , ajabu wanaukana ukweli. Walizoea kukusanya watu na kuandamana ili watoe kafara chama kizidi kuimarika. Wamefika mwisho! Yafaa CCM kufutwa na kushitakiwa kwa uhaini, mauaji, na kila aina ya uovu walioufanya kwa binadamu.
Viongozi wake wa ngazi za juu ni kama ama wanatafuta namna ya kuingia MITINI maana wanaiona hali halisi. Siyo matembezi ya mshikamano, siyo rushwa, kwishney! Kikwete ,Kinana, Nnape, kila mmoja anayo kesi ya kujibu.
huu ni Uzi wa Karne hivyo mods , uacheni udumu hapa .......