1. Hapo kwenye RED inamaanisha Mwigulu ni Mbunge wa CHADEMA?Kila baya ni chadema kuiba wake za watu,kuvuta bangi,sasa kuuza dawa za kulevya chama cha mashetani ni chadema.
Hivi CCM bado wanaamini kwamba..
1.wana hati miliki ya nchi hii pamoja na watz wote?
2.kwamba wanapendwa sana na watz pia wataendelea kushnda tukiwa na tume huru ya uchaguzi?
3.vyama vingine haviwezi kutawala nchi hii?
4.huwa wanashinda kihalali majimbo yote watz huwa wanawapigia kura,na walioshindwa eti wamewaachia tu wapinzani wakiamua wanachukua?
HAKIKA KAMA MUNGU AISHIVYO CCM MWISHO WAKE NI kati ya 2014 au 2015,japo hawataki kukubali ila naamini ma-ccm wenye akili timamu wameshasoma alama za nyakati kwamba enzi ya ccm imekwisha,nani aliamini kwamba KANU itakufa kirahisi hivyo?bt leo kiko wapi?ma-ccm machumia tumbo yamekalia kufikilia ni jnsi gani yataweza kuisambaratsha cdm ili yaendelee kutawala hata kama watz hawayataki na si kutumikia watz so sad,wameacha ilani wamebaki kuimba cdm na dr.slaa basi 2015 tukiwa na tume huru na daftari la wapiga kura likiboreshwa hata ma-ccm yanajua ndo mwisho wao.CCM OYEE?
umesahauUkianza kufuatilia mwenendo wa chama cha mapinduzi ccm,kwa kweli ni chama kilichokosa mwelekeo kabisa.Chama hik kimejaza maadui kila kona.Hawa ndio maadui wakuu wa serikali ya ccm,madaktari,walimu,wanafunzi wa vyuo vikuu,migogoro ya wakulima na wafanyakazi,wandishi wa habari nk Na hawa wafuatao ndio marafiki wa serikali ya ccm -mafisadi na wezi wa raslimali za nchi. -wauza sembe -majangili -wala rushwa -wang'oa kucha na meno -wauaji wa raia wasio na hatia nk
Wewe hata pige kelele vipi lakini fimbo unazo serikali haiwasikilizi watu vibaraka wa wanasiasa kama wewe mchumia tumbo tu.Ukianza kufuatilia mwenendo wa chama cha mapinduzi ccm,kwa kweli ni chama kilichokosa mwelekeo kabisa.Chama hik kimejaza maadui kila kona.Hawa ndio maadui wakuu wa serikali ya ccm,madaktari,walimu,wanafunzi wa vyuo vikuu,migogoro ya wakulima na wafanyakazi,wandishi wa habari nk
Na hawa wafuatao ndio marafiki wa serikali ya ccm
-mafisadi na wezi wa raslimali za nchi.
-wauza sembe
-majangili
-wala rushwa
-wang'oa kucha na meno
-wauaji wa raia wasio na hatia nk
Ukiwa mlevi tarajia kupongezwa na walevi wenzako kwa hiyo mkuu sikushangai kumpongeza mleta mada.Nduguyangu umenena ukweli mtupu
Ukiwa mlevi tarajia kupongezwa na walevi wenzako kwa hiyo mkuu sikushangai kumpongeza mleta mada.
Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.
Mafanikio yapi, mpaka utumie microscope ndio uyaone hayo nayo unaita mafanikio.Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.
mnafiki mkubwa wewe,sasa serikali ya magamba ina migogoro na walimu,madaktari,wandishi wa habari au uongo.Kutekwa kwa ulimboka na kibanda mtuhumiwa wa kwanza ni serikali ya wauza sembe
Slaa alikuwa wa kwanza kuichukia serikali akidai kwamba haitaweza kutawala yupo wapi anazidi kuzeeka tu serikali inatumikia watu wake tena kwa mafanikio makubwa we kalagabao.