CURRENT ISSUE
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 256
- 57
Who old you??Na kwa nini haiwezi kufa?? Na kwa ninin unasema CDM haiwezi kuongoza???Usitumie makal.... kufikiri.Any one in this country has a right to be elected to lead.Wewe ni nani hata uikatae hii???Watu kama nyinyi ndiyo mnaichinja cdm kwa kuwakuza. Badala ya kuwaambia wakomae unakuja kujambajamba hapa JF. Ccm haifi leo wala kesho na cdm kuongoza hawawezi....
Ni hilo la kwanza tu basi, tena kwa gharama yoyote hata ya kuchakachua, lakini haya mengine yalizikwa zamaniiiiii!
Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini
Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:
1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???
2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.
3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????
4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???
5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??.
Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.[B]ccm[/B].or.tz/
Imenishitua sana. Hili lichama limelelewa vibaya. Nikisoma malengo yote naona yalifaa kipindi cha nyerere tu. Lasivo ni kupotezeana muda. Watanzania tuwe makini sasa na CCM haina mpango na watanzania
Aliyeandika hayo aishakufa.Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini
Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:
1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???
2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.
3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????
4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???
5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??.
Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.[B]ccm[/B].or.tz/
Ni saidie swala hili unauliza ukiwa unaijua ccm au umeuliza ukiwa huijui ccm unataka usaidiwe kuijua.Ndugu wadau, sio vibaya kujikumbusha baadhi ya maswala mhimi na kujitathimini
Baadhi ya Malengo na Madhumuni ya CCM kama chama cha siasa ni yafuatayo:
1.Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa???
2.Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea kwa mujibu wa Azimio la Arusha.????.
3.Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwa kwa misingi ya kidemokrasia na ya kijamaa????
4.Kuona kwamba matumizi ya utajiri wa Taifa yanatilia mkazo aendeleo ya Wananchi na hasa jitihada za kuondosha
umasikini???.,Ujinga???. Maradhi ???
5. Kuona kwamba katika nchi yetu hakuna aina yoyote ya
dhuluma??,
vitisho??
Ubaguzi??
rushwa??
uonevu na/au upendeleo??.
Je, ni kweli haya ndo malengo ya CCM hasa katika swala zima la utekelezaji wake au kuna mengine ambayo ndo malengo ila hayajaandikwa na ni siri ya wachache?. Jiulize mwenyewe!!!!.
Source:www.ccm.or.tz/
Asante mkuu tupe na ya chadema sasa.