Mkuu unajua kama unataka kufanya maovu unachofanya kwanza ni kujifanya kuwa wewe haujui maovu yako, na ndicho wanachokifanya hawa CDM. Watanzania walifikiri kauli ya Slaa Kuwa nchi haitatawalika ni jambo dogo. Hatukujua kuwa kwa kauli hiyo maadui wa watanzania watakuwa wamefurahi sana kwa sababu wanaweza kufanya lolote na ikaonekana kuwa ni CDM, watu wa kwanza kabisa kulaumiwa endapo amani ya nchi itatoeka ni CHADEMA, hawa wanaweza kuwa wamehusika moja kwa moja ama kupitia kauli zao.na waliosema nchi haitawaliki wako wapi ktk kundi hili .cdm. kamateni kwanza slaa na jopo lake ugaidi utakwisha
nimeanza kuwa na wasiwasi na hqivi vyama rafiki wa vyama vya upinzani vinavyokuja kimya kimya nchini na hata kupewa fursa ya kuhutubia kwenye majukwaa ya kisiasa ni hatari sana kwa taifa letu.Ndugu wanaJF habari za wakati! Bila shaka watu wengi wanamitazamo tofauti na hali ilivyo sasa nchini kwetu lakini yote hayo yametokana na uongozi na ukilaza wa serikali ya ccm. Kilichotokea Arusha ni mseto wa vitu viwili uchochezi wa kiGAIDI na UDINI ambavyo vyote vimeasisiwa na ccm. Walibeep kuhusu udini watu wakafanya kweli wakapika haitotosha ccm wakongeza tena uchochezi wa ugaidi watu wakahamasika wakafanya kweli na ndio hayo yaliotokea Arusha. Tusubirie lile alosema mwigulu ambalo litakuwa kubwa kuliko hayo tuangalie litakuaje nafikiri hilo atakalolitoa mwigulu litatupeleka kama rwanda ya mwaka 94. Binafsi naiombe Mungu nchi hii iondokane na viongozi hawa wabinafsi pia nawapa pole wale wote walioguswa na kuthirika na uchochezi huu wa ccm.
na waliosema nchi haitawaliki wako wapi ktk kundi hili .cdm. kamateni kwanza slaa na jopo lake ugaidi utakwisha
Mkuu unajua kama unataka kufanya maovu unachofanya kwanza ni kujifanya kuwa wewe haujui maovu yako, na ndicho wanachokifanya hawa CDM. Watanzania walifikiri kauli ya Slaa Kuwa nchi haitatawalika ni jambo dogo. Hatukujua kuwa kwa kauli hiyo maadui wa watanzania watakuwa wamefurahi sana kwa sababu wanaweza kufanya lolote na ikaonekana kuwa ni CDM, watu wa kwanza kabisa kulaumiwa endapo amani ya nchi itatoeka ni CHADEMA, hawa wanaweza kuwa wamehusika moja kwa moja ama kupitia kauli zao.
na waliosema nchi haitawaliki wako wapi ktk kundi hili .cdm. kamateni kwanza slaa na jopo lake ugaidi utakwisha
Mimi kama mwananchi mwenye kuipenda nchi yangu, nasikitika kwa ninayoyaona kwa miaka hii. Na kwa haya napenda kuitahadharisha serikali kuwa Michezo yao ndio mauti yetu. Tumefikia mahali, kila kitu kinakwenda hovyo hovyo. Si elimu, si afya, si nishati, si madini, si usalama wa nchi. What the hell is going on? A bunch of overgrown teenagers are running the country into chaos, viongozi wapo wanachekelea tu. Nchi inapiga siasa, asubuhi mpaka jioni. Hata vyombo visivyo vya kisiasa na vyenyewe vimejikita kwenye siasa.
Tanzania imekuwa kama Somalia, Afghanistan! where is the government and its institutions? Nimeangalia tukio la hivi karibuni la kuhusu Lwakatare na kwa kiasi kikubwa nimeshangazwa kuwa wapo watu au kikundi cha watu walioko juu ya sheria na sheria za nchi haziwahusu wao hata kidogo.
Hivi kama polisi wangekuwa wanatenda haki, yule kiongozi wa kisiasa aliyesema ana mkanda wa video kuonyesha viongozi kadhaa wakipanga mauaji, je waliwahi kumkamata na kumuhoji? Na iweje aseme yeye halafu baada ya muda ndio video hiyo ionekane, je si yeye aliyeiweka kwenye you tube? Yeye ndiye suspect wa kwanza kwenye hili.
Naiasa serikali kuwa Michezo Yenu Ndio Mauti Yetu. Amani ya nchi ikipotea kuirudisha ni ngumu, mifano ipo mingi. Na wenzangu tunaoshabikia vitu havina mbele wala nyuma vya kutoka sijui twitter, you tube na face book, tunaofurahia na kuendeleza ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikanda n.k hatutakuwa salama mambo yakiharibika. Hata wenye dhamana ya vyombo vya ulinzi na usalama, hamtakuwa salama hali ya amani ya nchi ikitoweka.
Oneeni huruma watoto wenu hata kama ninyi mmechoka kuishi.Tuungane kulaani kwa nguvu zote matukio ya kihuni tunayoyashuhudia kwenye nchi yetu, mauaji na mateso ya raia wasio na hatia. Upendeleo wa waziwazi wa polisi na kukosa uwajibikaji wa dhati kwa wananchi walioapa kuwalinda pamoja na mali zao. Siku moja haki itapatikana na watanzania tutarudi kuishi kwa amani tukijua sote tu sawa mbele za sheria.
Mungu Ibariki Tanzania.
Tumefanya uvumilivu wa hali ya juu lakini kwa kero hizi na mipango michafu ya CCM katika mchakato wa katiba mpya ya wananchi, sasa ni wakati wa wananchi wenyewe kusema kama wanataka KATIBA MPYA YA CCM au wanataka KATIBA MPYA YA WANANCHI.
Ukifuatilia mwenendo wa mambo hapa nchini kwa sasa utaona kwamba hali ya mambo si nzuri kwa chama tawala. Manung'uniko ya watumishi juu ya uduni wa maslahi yatolewayo kwao, shida za maji na umeme, wizi na ubadhirifu wa fedha za serikali bila ya hatua stahiki kuchukuliwa kwa wakosaji, kuporomoka kwa kasi kwa elimu na matokeo ya kutisha ya wanafunzi katika mitihani ya taifa, kuporomoka kwa moyo wa uwajibikaji mongoni mwa watumishi na kushindwa kuwajibishana na la mwisho migongano na migogoro mikubwa baina ya viongozi na makada maarufu wa ccm unaopelekea kugawanyika kwa chama tawala. Tuelezane kati ya sababu au matatizo niliyoyataja hapo juu unadhani ni yapi makubwa matatu yatakayohalalisha safari ya ccm kuelekea kaburini 2015?
Ukifuatilia mwenendo wa mambo hapa nchini kwa sasa utaona kwamba hali ya mambo si nzuri kwa chama tawala. Manung'uniko ya watumishi juu ya uduni wa maslahi yatolewayo kwao, shida za maji na umeme, wizi na ubadhirifu wa fedha za serikali bila ya hatua stahiki kuchukuliwa kwa wakosaji, kuporomoka kwa kasi kwa elimu na matokeo ya kutisha ya wanafunzi katika mitihani ya taifa, kuporomoka kwa moyo wa uwajibikaji mongoni mwa watumishi na kushindwa kuwajibishana na la mwisho migongano na migogoro mikubwa baina ya viongozi na makada maarufu wa ccm unaopelekea kugawanyika kwa chama tawala. Tuelezane kati ya sababu au matatizo niliyoyataja hapo juu unadhani ni yapi makubwa matatu yatakayohalalisha safari ya ccm kuelekea kaburini 2015?
Jibu swali enyi majambazi na majangili wa CCM mtakubali kuachia ngazi? au mpaka mkombe raslimali zote na mabwana zenu mnaowaita wawekezaji? Tabia hii ndiyo itawafanya maskini wa tanzania wawafurushe kwa nguvu!! mtake msitake!!! RIP MAGAMBA RIP MAJANGILI NA MAJAMBAZI!!!!!!!!Mkuu unajua kama unataka kufanya maovu unachofanya kwanza ni kujifanya kuwa wewe haujui maovu yako, na ndicho wanachokifanya hawa CDM. Watanzania walifikiri kauli ya Slaa Kuwa nchi haitatawalika ni jambo dogo. Hatukujua kuwa kwa kauli hiyo maadui wa watanzania watakuwa wamefurahi sana kwa sababu wanaweza kufanya lolote na ikaonekana kuwa ni CDM, watu wa kwanza kabisa kulaumiwa endapo amani ya nchi itatoeka ni CHADEMA, hawa wanaweza kuwa wamehusika moja kwa moja ama kupitia kauli zao.
Ni kweli kabisa kabisa unachokisema, CCM wanajua kabisa kuwa hivi sasa hawana tena uwezo wa kupambana na CDM majukwaani, na ndiyo maana hivi sasa Mwigulu, Nape na Kinana,hawaishi kupanga mikakati miovu ya kutaka kuiangamiza CDM!Hakika chama cha mapinduzi kimepoteza mvuto kwa wananchi masikini, jembe na nyundo vilivyopo kwenye bendera vimegeuzwa silaha za kuua upinzani badala ya kujenga taifa.R.I.P Chukua Chako Mapema (CCM)
Tumefanya uvumilivu wa hali ya juu lakini kwa kero hizi na mipango michafu ya CCM katika mchakato wa katiba mpya ya wananchi, sasa ni wakati wa wananchi wenyewe kusema kama wanataka KATIBA MPYA YA CCM au wanataka KATIBA MPYA YA WANANCHI.