Kifo cha Balali ni Hekaya za Abunuasi!

Kifo cha Balali ni Hekaya za Abunuasi!

Mpangio mzima ni ccm

umesema kweli kabisa mkuu....CCM ndio waliosuka mpango mzima wa "KIFO" cha Balali. ngoja Lowassa aingie ikulu amsake Balali aje akajibu kesi inayomkabili. hatuwezi kukubali kuona hawa wezi wakiitafuna nchi tukiwa tumekaa kimya.
 
Balali akipita humu jf nadhani hua anacheka sana kuona jinsi wananchi tunavyogeuzwa misukule na kuaminishwa eti kafariki.
mkuu bado siamini ulisemalo kama mheshimiwa yule hakufa
 
Hii nchi ina vituko na vibweka sana
 
umesema kweli kabisa mkuu....CCM ndio waliosuka mpango mzima wa "KIFO" cha Balali. ngoja Lowassa aingie ikulu amsake Balali aje akajibu kesi inayomkabili. hatuwezi kukubali kuona hawa wezi wakiitafuna nchi tukiwa tumekaa kimya.
Mwanaccm yule asingekubali kuwaumbua wenzie
 
Back
Top Bottom