Kama kweli hajafa basi atakuwa kafanyiwa upasuaji na kumbadilisha sura, usikute yupo apa nchini anajia tu na sura bandia
Kwa mara ya kwanza nakuona umecomment nje ya jukwaa lako lilee
Kama kweli hajafa basi atakuwa kafanyiwa upasuaji na kumbadilisha sura, usikute yupo apa nchini anajia tu na sura bandia
Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi wamejipanga vizuri hadi kufikia hatua ya kugharamia utunzi mzima wa hekaya.
Hitimisho la hekaya hizi limeanza kutungwa na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, ambapo mmoja wa watunzi hao amegharamiwa safari ya kwenda Marekani kupiga picha ya kaburi feki lililoandaliwa na kisha kuandikwa jina la DAUDI BALLALI na picha hizo zimekusudiwa kutumika kunogesha hadithi kwenye gazeti analoliandikia.
Ndugu zangu, watanzania wa wale sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani. Uongo unaotungwa kwamba eti Balali hakutaka mwili wake uonekane kwa watu, ni hekaya ambazo kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuzikubali. Hata mtoto wangu wa miaka 3 anayesoma chekechea atakataa uongo huo. Tukio zima la 'kifo' cha balali ni hadithi ya kusadikika. Kovu la EPA alilosababisha Balali haliwezi kufutika mioyoni mwa watanzania.
:yield:
Kikao kimekataa na watu wanaotaka urais CCM kuwa suala la ESCROW NI HATARI KWA MGOMBEA YOYOTE WA CCM AU LOWASA AU MEMBE HIVYO WAKASEME KAMA KANU ILIKUFA BASI NA CCM ITAKUFA
MAGAZETI HAYO YALIYOKUJA NA ISSUE YA BALALI KIPINDI HIKI YANALENGA KUPOTEZA HOJA ZA UKAWA NA KATIBA MPYA NA HOJA ZA UKAWA NA ESCROW
HIVI KARIBUNU UKAWA WALIJIVIKA VAZI MAALUMU LA KUSHGHULIKIA MAMBO HAYA YA ESCROW NA KATIBA MPYA
SUALA LA UKAWA NI DENGUE YA CCM
WAANDISHI WOTE WALIOTUMWA KWENYE ISSUE YA BALALI WAPO KWENYE MTANDAO WA URAIS WA MTU MMOJA
Kuna clip nimeisikia mtandaoni yenye sauti inayoonesha ni ya waziri wa mambo ya nje akisema Ballali aliugua kuanzia mwezi wa 4 hadi wa 6 mwaka 2008 lakini akafariki May 2008Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi wamejipanga vizuri hadi kufikia hatua ya kugharamia utunzi mzima wa hekaya.
Hitimisho la hekaya hizi limeanza kutungwa na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, ambapo mmoja wa watunzi hao amegharamiwa safari ya kwenda Marekani kupiga picha ya kaburi feki lililoandaliwa na kisha kuandikwa jina la DAUDI BALLALI na picha hizo zimekusudiwa kutumika kunogesha hadithi kwenye gazeti analoliandikia.
Ndugu zangu, watanzania wa wale sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani. Uongo unaotungwa kwamba eti Balali hakutaka mwili wake uonekane kwa watu, ni hekaya ambazo kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuzikubali. Hata mtoto wangu wa miaka 3 anayesoma chekechea atakataa uongo huo. Tukio zima la 'kifo' cha balali ni hadithi ya kusadikika. Kovu la EPA alilosababisha Balali haliwezi kufutika mioyoni mwa watanzania.
:yield:
daah...!Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi wamejipanga vizuri hadi kufikia hatua ya kugharamia utunzi mzima wa hekaya.
Hitimisho la hekaya hizi limeanza kutungwa na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, ambapo mmoja wa watunzi hao amegharamiwa safari ya kwenda Marekani kupiga picha ya kaburi feki lililoandaliwa na kisha kuandikwa jina la DAUDI BALLALI na picha hizo zimekusudiwa kutumika kunogesha hadithi kwenye gazeti analoliandikia.
Ndugu zangu, watanzania wa wale sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani. Uongo unaotungwa kwamba eti Balali hakutaka mwili wake uonekane kwa watu, ni hekaya ambazo kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuzikubali. Hata mtoto wangu wa miaka 3 anayesoma chekechea atakataa uongo huo. Tukio zima la 'kifo' cha balali ni hadithi ya kusadikika. Kovu la EPA alilosababisha Balali haliwezi kufutika mioyoni mwa watanzania.
:yield:
Kuna clip nimeisikia mtandaoni yenye sauti inayoonesha ni ya waziri wa mambo ya nje akisema Ballali aliugua kuanzia mwezi wa 4 hadi wa 6 mwaka 2008 lakini akafariki May 2008
Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi wamejipanga vizuri hadi kufikia hatua ya kugharamia utunzi mzima wa hekaya.
Hitimisho la hekaya hizi limeanza kutungwa na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, ambapo mmoja wa watunzi hao amegharamiwa safari ya kwenda Marekani kupiga picha ya kaburi feki lililoandaliwa na kisha kuandikwa jina la DAUDI BALLALI na picha hizo zimekusudiwa kutumika kunogesha hadithi kwenye gazeti analoliandikia.
Ndugu zangu, watanzania wa wale sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani. Uongo unaotungwa kwamba eti Balali hakutaka mwili wake uonekane kwa watu, ni hekaya ambazo kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuzikubali. Hata mtoto wangu wa miaka 3 anayesoma chekechea atakataa uongo huo. Tukio zima la 'kifo' cha balali ni hadithi ya kusadikika. Kovu la EPA alilosababisha Balali haliwezi kufutika mioyoni mwa watanzania.
:yield:
Hekaya za 'Kifo' cha aliyekuwa gavana wa BoT aliyeikimbia nchi kwa sababu ya kushiriki ufisadi wa EPA, bado zinaendelea kuvuma masikioni mwa watanzania. Na inaonekana watunzi wa HEKAYA hizi wamejipanga vizuri hadi kufikia hatua ya kugharamia utunzi mzima wa hekaya.
Hitimisho la hekaya hizi limeanza kutungwa na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, ambapo mmoja wa watunzi hao amegharamiwa safari ya kwenda Marekani kupiga picha ya kaburi feki lililoandaliwa na kisha kuandikwa jina la DAUDI BALLALI na picha hizo zimekusudiwa kutumika kunogesha hadithi kwenye gazeti analoliandikia.
Ndugu zangu, watanzania wa wale sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani. Uongo unaotungwa kwamba eti Balali hakutaka mwili wake uonekane kwa watu, ni hekaya ambazo kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuzikubali. Hata mtoto wangu wa miaka 3 anayesoma chekechea atakataa uongo huo. Tukio zima la 'kifo' cha balali ni hadithi ya kusadikika. Kovu la EPA alilosababisha Balali haliwezi kufutika mioyoni mwa watanzania.
:yield:
photoshopedKama kweli hajafa basi atakuwa kafanyiwa upasuaji na kumbadilisha sura, usikute yupo apa nchini anajia tu na sura bandia
Kuna kipindi rais wa nchi hii aliambiwa asijidai eti kuna amani wakati anaongoza maiti, na kweli hii nchi ina maiti tupu, hakuna kuhoji, hakuna kudadisi ila ni kupamba na kulamba miguu ya watawala. Tuna taabu sana.