Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Nimekuwa nikifatilia kujua kuhusu kifo cha Mtanzania mwenzetu Bw. Mawazo, kitu cha kushangaza nimewahi kuwa maeneo tofauti tofauti, kila watu wakiniona wanaanza kuzungumza kifo cha Mawazo huku wakiwataja wahusika.
Nilichogundua watu wanaogopa kuwataja ila kuna watu wamesingiziwa na kubambikwa kesi hiyo. Watu wanalalamika yaani jamaa wanaua bright wetu halafu wanasingizia hata mpiga debe au mzoa taka ili kuficha ukweli.
Siku moja mwaka 2016 hapa Mwanza Wasomi kabisa wanasema aliyemuua Mawazo ni mkuu wa MKOA wa Mwanza Bw. Magesa ndio aliratibu mchezo wote akishirikiana na Mbunge wa sasa wa NYAMAGANA na Bw Makonda, Chakushangaza tuhuma nzima kapewa MTU ambaye hata hajui chochote na wala hajawahi hata kufika GEITA maishani mwake.
Maeneo mengine waliwataja vijana wa CCM ambao wamepewa na vyeo baada ya zoezi hilo akiwamo mkuu wa wilaya kinondoni wa sasa.
Ndimi,
Mfukunyungu.