Kifo cha Alphonce Mawazo, wabananishwe kuhojiwa aliyekuwa RC Mwanza Mh Magesa, Mh Mbunge Mabula, MhM

Mauaji ya Mawazo ni uthibitisho wa uwepo wa fikra na vitendo vya kijima.
Mbaya sana. Katika jamii iliyostaarabika vitendo kama hivyo havipo, na ikitokea kuna waovu wa kisiasa, watatumia mbinu za kiutu.
Barikiwa Mkuu
 
Mawazo alipita nasi tutapita.
Tujenge nchi,serikali haina muda kufanyia kazi tukio hilo,labda chadema

Kwa sababu aliyeuawa si Mwanachama wa CCM basi anakoma kuwa binadamu na RAIA watanzania hivyo Serikali hawezi au naona muda kushughulikia lakini unaweza kushghulika na utumbo unaoitwa uchochezi.Hakika umelaaniwa utawala ule unaoua watu wake kwa sababu ya madaraka.
 
Mawazo walimuua chadema wenyewe kama waliyomfanyia Wangwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnakimbia kivuko.Mtalipa haya maovu wote mliyotenda yatalipwa hapa hapa.Cheo ni dhamana tu.Mnaringia vyeo vya kupita siku ukifika mtajua au kuelewa jua kwa nini limachomozea linapochomoza.Aliyemua Mawazo mnamjua ni Mbunge wenu wa Chama Cha Makinikia aka Chama Cha Mauaji.Mungu awalaani nyie pamoja na vizazi vyenu vyote
 
Back
Top Bottom