Kifo cha Abu Ubaydan Al Banshiri katika MV Bukoba

Makala ni nzuri,sema umekosea mwishoni kabisa uliposema kuwa alikufa alipokuwa amepanda Mv Bukoba AKIELEKEA Bukoba kuchukua malighafi ya kutengenezea bomu na hakufika, wakati ajali ilitokea wakati Mv Bukoba INATOKEA Bukoba ikielekea mwanza.
 
Naanza Ku connect dots. Baada ya ajali kutokea, kulikua na theories nyingi za jinsi ya kuwaokoa watu waliokuwamo melini mojawapo ni kuivuta meli kwa kutumia Cranes za Kamanga na Nyehunge hadi kina kifupi and then igeuzwe na watu kuokolewa.

Lakini ghafla akatokea Afisa Usalama aliyeagiza kuwa meli itobolewe ili kuwatoa watu waliokuwa wakigonga bati kwa ndani kuonesha kuwa wako hai.

Kitendo cha kutoboa meli ndicho kilochokamilisha zoezi la kuzama kwa meli hiyo.

It is very sad.

Inna Lillahi Wainnaillaihi Rajiuna.
Huyo afisa dadeki zake walahi!
 
HaHa h! Wakati huo vyombo vyetu havikuwa competent sana. Nakumbuka FBI ingawa ni shirika la ndani la US, lakini walikuja Tanzania kuwatafuta Al Qaeda.
Intelijensia ya Al Qaeda ni world class. Na jambo lingine walikataa kutumia "usasa", mfano Osama Bin Laden aliacha kutumia simu tangu 1997 hadi anakufa.
Ila Hawa watu(waarabu,wadosi na wazungu) kwa Sasa siwaamini hata iweje,naanza kuvuta picha unakuta mwaarabu kujificha kijijini kabisa, nakumbuka miaka ya 1990+ unakuta Kila mwezi waarabu wanatuzuga wanaenda kuwinda anaingia ijumaa anarudi jtatu na nyama ya nyati,kumbe zuga tu wanaenda kuwinda tembo na kuchukua pembe,mie ngozi nyeupe yeyote iliyopo nchini naamini ni gaidi au jasusi
Nalog off
 
HaHa h! Wakati huo vyombo vyetu havikuwa competent sana. Nakumbuka FBI ingawa ni shirika la ndani la US, lakini walikuja Tanzania kuwatafuta Al Qaeda.
Intelijensia ya Al Qaeda ni world class. Na jambo lingine walikataa kutumia "usasa", mfano Osama Bin Laden aliacha kutumia simu tangu 1997 hadi anakufa.

if you live like you are in the past,the future will never find you
 
HaHa h! Wakati huo vyombo vyetu havikuwa competent sana. Nakumbuka FBI ingawa ni shirika la ndani la US, lakini walikuja Tanzania kuwatafuta Al Qaeda.
Intelijensia ya Al Qaeda ni world class. Na jambo lingine walikataa kutumia "usasa", mfano Osama Bin Laden aliacha kutumia simu tangu 1997 hadi anakufa.
Bila simu Osama alikuwa anawasiliana vipi?
 
Back
Top Bottom