Kifo cha Abu Ubaydan Al Banshiri katika MV Bukoba

Kifo cha Abu Ubaydan Al Banshiri katika MV Bukoba

Ujinga mtupu kwann wasimkamate pekee yake mpaka wazamishe


Uongo usioingia kichwani
Ukimkamata peke yake unaweza kuleta uadui na magaidi hasa kwa wewe host yani nchi ambako tukio limefanyika. Pia mpaka kujua kwamba ndani ya meli yupo huyo gaidi inawezekana kuna spy wa CIA ambae alikuwa mtu anae aminiwa na huyo gaidi pamoja na Osama ndo alieuza hiyo taarifa.. Inawezekana Marekani bado walikuwa wanahitaji kumtumia mtu huyo kwenye operation nyingine za CIA dhidi ya Al Qaeda. So ukimuua kawaida uta fanya Al Qaeda wa connect dot na kujua ameuzwa wapi. Ila ukimuua kwenye ajali ya kawaida, inaonekana ni ajali tu ya kawaida na huwezi kurisk revenge ya magaidi
 
Back
Top Bottom