Kifo bwana!

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,175
22,576
Kuna jirani yangu alikuwa anaumwa sana.. ikabidi amuite mganga wake. mganga akamwambia ugonjwa wake hauwezi kutibika.. njia ni kumrushia huo ugonjwa mtu mwingine..
akaambiwa mtu yeyote atakayeingia hapo ndani aseme
"taarh"kisha ugonjwa utamuingia huyo mtu.. sasa mganga akaondoka. alipofika akakumbuka Kumbe alisahau kuchukua hela yake.. so inabidi arudi. alipofika yule jirani akasema taarh na mganga nae akajibu mapigo retaarh jirani nae akajibu reretaarh!!
Unaambiwa hapa toka jana mpaka saivi watu wanarudishiana tuuu
rerererererererertaaaah!

"mchizi kichizi "
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom