Kifimbo cha Mwl. Nyerere.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Wakati nikiwa mdogo,nilikuwa nikisimuliwa Hekaya mbalimbali kuhusu Kifimbo cha Hayati Baba wa Taifa-Julius Nyerere.
Kwamba kilikuwa na Maajabu ambayo baadhi ya watu waliokuwa wakifanya kazi nae waliogopa kukisogelea hata kukishika endapo Mwl angekisahau ofisini.Wazee wetu mliokuwepo tangu utawala wa Chama Kimoja/Wachunguzi wa mambo tuelimisheni kuhusu kile kifimbo.Je ni kweli kilikuwa na maajabu yake au ulikuwa ni uzushi?Vijana wa kizazi hiki cha sasa tungependa kufahamu.

 
Aliwahi kuja nacho mpwapwa,alipoondoka kurudi dar akakisahau,lakini alikikuta ikulu
 
walisema ilikuwa ni mbao ya mpingo,
kwa imani za wengi hiyo mbao ina mvuto wa
bahati na ulinzi fulani zidi ya maadui,
but wanaojua zaidi watasema hapa.
 
Inaelekea wote mliochangia hakuna hata mmoja alikuwepo kipindi hicho na kama mlikuwepo mlikuwa watoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…