Kifaa Kinachokata Makelele

Kifaa Kinachokata Makelele

Huyu muhusika ana kibali cha kuendesha shughuli zake za bar. Nashindwa kuelewa serikali ya mtaa ilizingatia kigezo kipi kuruhusu bar katika ya makazi ya watu.
Mkuu wateja wa baa ni watu pia, sasa wewe unataka baa zikajegwe wapi? Shida ni kwamba taratibu tu hazifuatwi. Wasimamizi wa sheria na wanatakiwa kufuata sheria wote ni tatizo.
 
Wakuu habari,
Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa hafiku huko. Ila sasa naona karudia utaratibu wake, na mbaya zaidi kuna walevi wapo karibu dirisha langu wanaongea na kucheka kwa nguvu mpka wamenishtua. Imagine sasa ni saa kumi, na nimelala saa saba.

Swali Langu:
Nauliza kama kuna noise blocking device yoyote naweza kupata kwa hapa tz.
Zinauzwaje na wapi ntazipata?
Nenda police ama manispaa Idara ya Afya watakusaidia
 
Kuna vifaa vya kuzuia kelele (ear muffs). Watembelee open sanit au kema, angalia web zao uoate contacts. Sijui kama zinakuwa comfortable kiasi gani kulala nazo lakini nakushauri ununue foam earplugs. Google pia jinsi ya kuzivaa ili uwe comfortable nazo.
 
Kama umepanga bhana....hama tu no problem...kama ni kwako then waone serikali za mtaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom