Kifaa Kinachokata Makelele

Kifaa Kinachokata Makelele

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu habari,
Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa hafiku huko. Ila sasa naona karudia utaratibu wake, na mbaya zaidi kuna walevi wapo karibu dirisha langu wanaongea na kucheka kwa nguvu mpka wamenishtua. Imagine sasa ni saa kumi, na nimelala saa saba.

Swali Langu:
Nauliza kama kuna noise blocking device yoyote naweza kupata kwa hapa tz.
Zinauzwaje na wapi ntazipata?
 
Sound proof zipo lakini ni gharama sana
e1a7dcf68bc5c8017a7252c5b86fae8b.jpg
 
Inabidi urekodi hizo sauti muda tofauti hata hao unaowasikia dirishani na kwenda kuripoti ukiwa na proof ya yanayotokea ili wakuelewe vizuri.
 
Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779]
 
Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
Hapana situmii kilevi chochote, nipo ndani huwa naendelea kufanya kazi zangu binafsi ambazo Mara nyingi saa 4 au 5 usiku nakuwa nimemaliza. Kukaa mpka saa inatokana na kukosa usingizi kwa sababu ya kelele.
 
Kadhtaki kwa uongozi wa mtaa husika.
Huyu muhusika ana kibali cha kuendesha shughuli zake za bar. Nashindwa kuelewa serikali ya mtaa ilizingatia kigezo kipi kuruhusu bar katika ya makazi ya watu.
 
Hapana situmii kilevi chochote, nipo ndani huwa naendelea kufanya kazi zangu binafsi ambazo Mara nyingi saa 4 au 5 usiku nakuwa nimemaliza. Kukaa mpka saa inatokana na kukosa usingizi kwa sababu ya kelele.
Mkuu, dawa ya usingizi ni kujidunga mipombe mingi tu
 
Hakuna namna wewe cha kufanya ni kumpiga kipapai tu wafe au wa hame mtaa
Naisubiri hii device kwa hamu, ni
Hawa jamaa walianzisha fundraising wameshakamilisha lengo nasubiri kuwa released tu. Gharama ya mpka ifike Tz yaweza kuwa kama around $300 hivi.
 
Wakuu habari,
Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa hafiku huko. Ila sasa naona karudia utaratibu wake, na mbaya zaidi kuna walevi wapo karibu dirisha langu wanaongea na kucheka kwa nguvu mpka wamenishtua. Imagine sasa ni saa kumi, na nimelala saa saba.

Swali Langu:
Nauliza kama kuna noise blocking device yoyote naweza kupata kwa hapa tz.
Zinauzwaje na wapi ntazipata?
Kwanza mwambie peleka malalamiko yako kwa kiongozi wa mtaa, bilashaka majirani zako wataungana na wewe. Ikishindikana nenda katoe taarifa polisi. Inawezekana kabisa muziki ukapungua sauti ila sasa matusi ya wanywaji utayasikia bila chenga. Badala kuingia ghalama za vidhibiti kelele bora jipange ujenge sehemu nyingine.
 
Na hiyo sehemu baada ya kujenga ikajengwa baa nyingine yenye the same kelele? Ajenge tena sehemu nyingine?
 
Ushauri wangu wa kwanza ni kuafuta uongozi wa mtaa hadi polisi. Lakini ghalama ya soundproof ni kubwa sana. Basi ushauri rahisi avumilie tu mpaka mwenye hiyo baa itakaposhindwa kuiendesha.

Wewe ushauri wako ni upi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom