Kifaa kikiwa mjengoni

Kifaa kikiwa mjengoni

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
238
PG4A8400.JPG
 
Wanapoonesha bunge halafu mpiga picha akinioneshaga kifaa hiki huwa nabarikiwa sana, hata kanuni za bunge huwa zinaingia sana kichwani.
Big up kwa mpiga picha wa star tv kwa kurudia mara kwa mara kukionesha kifaa hiki utafikiri huwa unaangalia nafsi yangu.
Kule peponi hivi vyombo vipo vingi sana.
 
Hivi unamaanisha huyo mtu au hiyo MIC maana sijaona kitu bado mkuu...au ni hizo pipi kwenye bakuli
 
Wanapoonesha bunge halafu mpiga picha akinioneshaga kifaa hiki huwa nabarikiwa sana, hata kanuni za bunge huwa zinaingia sana kichwani.
Big up kwa mpiga picha wa star tv kwa kurudia mara kwa mara kukionesha kifaa hiki utafikiri huwa unaangalia nafsi yangu.
Kule peponi hivi vyombo vipo vingi sana.

vipo vya kumwaga
 
Sasa huyu ni Mh nani maana bila shaka naamini huyu akisimama atakuwa na neema za Allah . By Sheikh Kipozeo
 
Mi ningeingi hili bunge haki ya mungu ningekaukiwa mbegu...daaaah
 
aaaaaaaah yaani kifaa kwenye nini sasa mleta uzi mbona hueleweki, au anatokea kwenu, ? au unampenda ? au au au ? leta majibu tafadhali maana hata sijaelewa kabisa
 
aaaaaaaah yaani kifaa kwenye nini sasa mleta uzi mbona hueleweki, au anatokea kwenu, ? au unampenda ? au au au ? leta majibu tafadhali maana hata sijaelewa kabisa

Huwezi kuelewa kwa sababu una IQ ndogo
 
Jina hili hapa Pauline Gekul nafikiri kutoka CCM.

Toka CDM.Ni mbunge bora zaidi kupitia viti maalumu.

Huwa nabarikiwa saana nikimuona huyo na ESTHER BULAYA.

Halafu kuna uamsho wavaa ushung wale wa bunge la katiba
 
Back
Top Bottom