bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
poleni na majukumu wakuu! Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimekuwa nikiona viongozi wanchi na wengineo kwenye mikutano ya kimataifa wanatumia kitu kama earphone pindi mkutano ukiendelea nikaja kuambiwa kuwa vile ni vifaa vya kutafsiri lugha
sasa nina maswali kwa anae fahamu
A. kile kifaa huwa hakikosei kutafsiri?
B. kinauzwa shingapi? kama bei ni ndogo serikali iwanunulie walimu wote wa sekondari Tanzania ili tatizo la kingereza liishe
C. Mfumo gani ulitumika kuingiza lugha kwenye hivyo vifaa.
ahsanteni na karibuni kwa michango!