Kiendacho kwa mganga hakirudi!

Kiendacho kwa mganga hakirudi!

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
95,747
Reaction score
136,429
Haya wale wazee wa kufatilia pesa za desi,qnet etc habari ndiyo hiyo mwana fa ft Ay

Ova
IMG-20201218-WA0022.jpg


Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Serikali ina uhitaji wa fedha nyinyi mnazichezea? 🤣🤣

Wacha zikabusti miradi
 
Serikali ina uhitaji wa fedha nyinyi mnazichezea? 🤣🤣

Wacha zikabusti miradi
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😀😁😂🤣😃😄😘
Siku Nyingine Watajifunza Matumizi Ya Pesa Ambayo Ni Sahihi.
 
Hakika hakuna kurudishiwa!! Ningependa hata za Mr KUKU serikali izichukue wakajenge miondombinu iwasaidie wananchi.
 
Mwalimu mzuri katika maisha ,ni makosa yako mwenyewe.
So kupitia makoxa nadhani wahanga watakuwa waalimu wazuri kwa wenzao.

#jr
 
Back
Top Bottom