Kiendacho kwa mganga hakirudi!

Kiendacho kwa mganga hakirudi!

Kwani hao wanaojingiza huko kwenye ma qnet etc si wanadhulumiana,acha watiwe adabu na hakuna kuwarudishia hela mpaka wanyooke
Maji waite mma

Ova
 
Jana ni burudani tu na leo ni raha tu [emoji2][emoji2][emoji2].. tumeshazoea hali
Hahaha sisi tunaishi tu ije mvua ije jua shega tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tuwe nutroooo tu sasa

Ova
 
Back
Top Bottom