Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Hivi ushawahi kuwaza kuwa kama kupata mafanikio kwa mganga inawezekana kwa wote basi hakuna asingekuwa na tabu.
Mimi nafikiri wale wanaopata mafanikio kutokana na msaada wa mganga sio kwamba eti wameedana vizuri na masharti au wameweza kutoa kafara inayohitajika bali ni kutokana na "network ya nyota zao" zinaendana/zinasomana na hicho unachoenda kukitafutia ufumbuzi.
Tukumbuke kuwa sisi wanadamu ni very limited beings, tuli jaliwa zawadi husika ambazo tunatofautiana na wengine na huku bado tukiwa na mapungufu kibao sana ambayo hatufanani na wengine.
Ndio maana huyo mganga unaenda kwake akusaidie upande cheo kazini yeye mahali anapokaa hata unamuonea huruma. Hii yote ni kwa sababu ya network ya nyota yake haiconnect na mafanikio unayomdhania.
So, kama network yako inasomana na mafanikio ya kibiashara na unataka msaada huo basi utafanikiwa vizuri ila pale unapotaka mambo mengine unakuta network yako hasiomani thus haupati msaada.
Hii yote tu ni ili universe itimize law of limitations katika dunia. Yani kwamba "upate na usipate".
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app