Kiendacho kwa mganga hakirudi!

Kiendacho kwa mganga hakirudi!

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,890
Reaction score
132,157
Haya wale wazee wa kufatilia pesa za desi,qnet etc habari ndiyo hiyo mwana fa ft Ay

Ova
IMG-20201218-WA0022.jpg


Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hakika hakuna kurudishiwa!! Ningependa hata za Mr KUKU serikali izichukue wakajenge miondombinu iwasaidie wananchi.
 
Mwalimu mzuri katika maisha ,ni makosa yako mwenyewe.
So kupitia makoxa nadhani wahanga watakuwa waalimu wazuri kwa wenzao.

#jr
 
Back
Top Bottom