Yani hapo jukwaa kuu wamejaa viongozi wa kitaifa kuanzia, Katibu mkuu wa chama, katibu mwenezi na itikadi wa chama taifa, mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Arusha.
Hawa wahuni tu, hawana jipya....Hapa Kinana aonekana mchapa kazi, ngoja wampe uwaziri mtamshangaa, kwanza ataangusha bonge la party la kuaga umasikini huku akijuwa baada ya wiki mbili kazini mabilioni yote aliyopteza kwenye party yanarudishwa kwenye account yake. Watu wakimkumbusha kuhusu uadirifu anawashangaa kana kwamba si yeye aliyekuwa akipita vijijini kukuna nazi na dada yake Nape. Chama Cha Masela, ni shida tupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.