Kidumu chama chawala

Kidumu chama chawala

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,205
Reaction score
829,187
1426831714281.jpg
 
Kidumu Chama Cha Masela... wanaitana ma #homeBOY nao sikuhizi (Mh.Aggrey Mwanri bungeni akijibu hoja) wahuni tu hao
 
Nape mbona anasimama huku katanua miguu hivo
 
AIBU...AIBU.....AIBU.....Watakoma Mwaka Huu. Mwalimu Wangu alipata Kuniiambia ya Kwamba Kupata KITAMBI ni Kitu Rahisi Sana, Ila Ugumu Unakuja Kwenye Kukimaintain na Kuendelea Kukilea Kisiporomoke.

Kinachowasumbua Hao ni hili la Kutaka Kumaintain MATUMBO yao Vinginevyo Wangekuwa Wameshakata tamaa. Haiingii akilini Kwa watu Wazima Kuhutubia Uwanja Mtupu na Kwingineko Kufanya Usanii wa Kukamata MAFISI ili watu waje Kushangaa ndo Mtoe Sera zenu Mfilisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom