maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,812
- 2,360
Wanajamvi Mimi naona dogo kiduku ameonyesha uwezo wake na Tatar ameeleweka duniani.
kitendo cha kuacha dogo anarusha madude Mara kibao ni ishara tosha kuwa dogo amebalehe hawezi kulala na wasichana chumba kimoja asitunge mimba
Heshima haiji ila kwa ncha ya upanga.
kitendo cha kuacha dogo anarusha madude Mara kibao ni ishara tosha kuwa dogo amebalehe hawezi kulala na wasichana chumba kimoja asitunge mimba
Heshima haiji ila kwa ncha ya upanga.