cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,025
- 196,605
Mie sio Gen Z. Unanikosea bhana.Msingekuwa na malalamiko chungu tele hadi kuwarudia millennials na vibabu wengine.Gen Zee mmebakiwa nao kwa ajili ya kupata nao selfies.
Mie sio Gen Z. Unanikosea bhana.Msingekuwa na malalamiko chungu tele hadi kuwarudia millennials na vibabu wengine.Gen Zee mmebakiwa nao kwa ajili ya kupata nao selfies.
Mishangazi hupenda Gen Zee!Mie sio Gen Z. Unanikosea bhana.
Uliandika "This is greedy"Mimi nimechukulia utani tu.
Kwamba umemjibu kwa jeuri.
Basi hata nilikuwa makini na hiyo lugha? Niliandika tu.Uliandika "This is greedy"
Greedy = Jeuri?
Ni raha sana pindi mke/girlfriend wako anapokuomba umchape nao.
Eti wadada, kuna ukweli kwamba jamii yetu bado iko na dhana ya kumuona mwanamke muhuni pale anapoomba tendo la ndoa hata kama ni haki yake akiwa ndani ya ndoa!? Wewe ni lini mara ya mwisho umeomba tendo kwa huyo mpenzi wako!?
😂😂MIMI nimeshawahi kukuomba hela?
Sasa hiyo nayo yakuleta huku
Eti wadada, kuna ukweli kwamba jamii yetu bado iko na dhana ya kumuona mwanamke muhuni pale anapoomba tendo la ndoa hata kama ni haki yake akiwa ndani ya ndoa!? Wewe ni lini mara ya mwisho umeomba tendo kwa huyo mpenzi wako!?
Wengine wanasubiri uwapige "mtama".Sio ajabu kwa mwanamke kuomba mjulubeng. Ni haki yake kuomba mic na kuimba vizuri.