Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Hiii kitu inatofautiana na jamiii na jamiii katika majina.


Tanga hiyo kitu inaitwa MUKU.

Nimeishuhudia inavyo fanya kazi kwa mtu, na hatua za majaribio niliwahi kuiona. Ina masharti yake, nikipata muda naweza hadithia kidogo
 
Mkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
Yeah, inategemea na manuizi yaliyo fanywa na mtaalam wako.

Maajambaaz, na wezee wetu enzi hivo wanaenda misheni walitupa story nyingi kuhusu wenzao.

Una mjua RUNNER??
 
Kina Matumla wangekuwa hatari sana, ukute Cheka ana Muku na Matumla ana Kinkuti, Tyson angesubiri.
Hivi havitumiki hapa kwa sababu kwanza ni hiari, pili ni mchezo, tatu ni taarifa
Hivi ni pale unapokua sehemu ambayo huna mubadala wake wa kujikwamua pia huhususha hisia za uonevu, pia anapokuja mtu bila taarifa kwa nia mbaya asee tifu lake sio la kitoto,
Usiombe ukachokozwa siku zile mwezi unakuwa ni mzima Mungu wangu kitakachotokea hata wewe kesho utashangaa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Dah kipindi kile cha Ukoloni hii sayansi haikuwepo mbona tumenyanyasika kwa mababu zetu kufungwa minyororo kirahisi na kupelekwa utumwani!!?
Ilikuwepo sana.

Nenda uliza story za kina gwana malundi etc

Utapata sikia mengi, sema wakolon walikiw wajanja waanawap ulaji hao mafundi,, wanachukua siri au kuwapoza kwa madaraka n.k..

Pia wakoloni walikuwa deep kweny taaluma hizi, si wajua dawa ya moto ni moto.

Kumbuka walee wazee wa Tanga na wajerumani, walivyo naswa
 
Ubaya wa hizi ishu ni kuwa, ukipandwa na hasira, zinakuwa hasira haswa, hau shikiki wala kuamulika wala husikizi kitu hadi lengo litimie
 
Hadithia mkuu.
Ila ujue TANGA n KIGOMA hatuna tofauti
Yeah mkuuu.

Ila the worst ikifika time yako yakurudi vumbuni unapata shida sana.

Unakuta wengine wana fight kuto taka kufa, till wengine huteseka even wengine kuoza wakiwa wanapumua, hiz vitu vina mengi na miiiko mengi.

Kuna baadhi ya miiko au vitu hafanyiwi mtu ambaye hana mtoto,
Lazim huwe na wakiume na kike, ina depend na unatakaje
 
Huo ndio ubaya wake.
Kuna ile ukichukia unaumka halafu miguu inatitia ardhini mbaya sana hiyo unaweza kuta umeua watu wote.
Yeah hapo hata upigwe na nin huachii mtu, ukipiga kabali hadi unaua. Baba hiii kitu nilikataa fanyiwa, coz nataka niishi natural, nilipewa ofa kufanyiwa freee nilivyo kuwa napeleleza na kuona ishu za upande wa pili zilivyo, wakataka wafanye noooma.
 
Nani kakuruhusu kuja kuanika Siri za mababu zetu, ndo tatzo la kuwapa dawa vjana wasiojielewa, hyo dawa ni moja ya hazna za Mkoa wa kgm. Sasa kuitoa siri hiyo ni kudondosha ramani ya vita mbele ya adui.
 
Hmmmmm! Hapanaaaaaa cheza mbali kabisa na hii kitu muku/kidono/kinkuti.

Mkuu mimi nimeshuhudia, kusimuliwa pia kufundishwa hizo mambo sometimes ni mbaya sanah hasa ukizidisha aina ya dawa. Kuna zingine hutakiwi kukaa sehem zenye watu ikiwa full moon maana wengine hubadurika na kua viumbe vya ajabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…