Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

hii ni miujiza.... dada alikuwa anatokea kwao (yupo nje na pengne nje ya fensi kabisa) na akampita Jumong S (alikuwa barabarani) akiwa anaenda kuchukua maziwa (asubuhi), kwa makusudi akaidondosha khanga (hapo barabaran). Hahaha
 
Last edited by a moderator:
when a bird learns to fly without perching, the hunter learns to shoot without aiming!
 
Wee kama kweli hupendi huo upuuzi wake msubirie kaidosha alafu wewe iokote tokomea nayo,si anahamu ya kukaa uchi basi hiyo ndio dawa yake lazima atakuheshimu tu...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe?
Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi wakati nafata ka nusu lita ka maziwa, nimekutana nae anatokea kwao, alinipita kidogo huku akiyatikisa, mara kanga ikaanguka! Oooh, leo mbaya sana hajavaa kabisa kufuli. Mmmh, mbona suruali yangu ya kitambaa inaota mlima?

Haka katabia wadada na wamama imekuwa mazoea. Hampendi kuvaa kitu kwa ndani zaidi ya chupi au tight huku mmefunika kanga tu hata kama mna ka safari karefu. Hivi mna maana gani? Wengine hatutaki haya mavishawishi bana! Badilikeni...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Yaani huyo "ke" anadondosha khanga akikuona wewe tu?!
Kwahiyo huwa anakuvizia wewe tu akuonyeshe hiyo kitu?!
Utakuwa na bahati mbaya. Mkosi huo. Kemea.
 
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe?
Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi wakati nafata ka nusu lita ka maziwa, nimekutana nae anatokea kwao, alinipita kidogo huku akiyatikisa, mara kanga ikaanguka! Oooh, leo mbaya sana hajavaa kabisa kufuli. Mmmh, mbona suruali yangu ya kitambaa inaota mlima?

Haka katabia wadada na wamama imekuwa mazoea. Hampendi kuvaa kitu kwa ndani zaidi ya chupi au tight huku mmefunika kanga tu hata kama mna ka safari karefu. Hivi mna maana gani? Wengine hatutaki haya mavishawishi bana! Badilikeni...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hebu tuwekee Picha hapa tuthaminishe. Wewe mpige tu picha ikidondoka
 
Siku nyingine akidondosha kanga na wewe dondosha suruali ili wote muwe level sawa mambo ya kuumizana siyo mazuri kabisa
 
Back
Top Bottom