Hayo yote ya kuangusha kanga yanatokea nje ya nyumba?
Ww unazuga inavyoonekana umeshapiga ww
wenye bahati zao!!!!!!!1 kesho akidondosha okota mvalishe
Nishawinda nikakamata wangu bila kusababisha majeraha, nimejifugia mwenyewe, kila nikitaka maziwa ya swala nakamua bila hofu!Raha ya swala umuwinde wewe! Tangu lini SIMBA AKAWINDWA NA SWALA!!!!!!!!!????
Huwa anakuwaga makini, si unajua uswazi njia zenyewe zilivyobana! Full vichochoro, sa kuna ka kichochoro hawapiti watu weeengi na nakapenda maana ni short cut kutoka kwangu huwa nakutana nae mara kadhaa sa anajitahidi kuweka mtego wa sungura eti amnase simba!wapi na wapi?Aisee sa hizo kanga anapodondosha mnakuwa nyie wawili tu..........
Siku nyingine akidondosha kanga na wewe dondosha suruali ili wote muwe level sawa mambo ya kuumizana siyo mazuri kabisa
Yaani huyo "ke" anadondosha khanga akikuona wewe tu?!
Kwahiyo huwa anakuvizia wewe tu akuonyeshe hiyo kitu?!
Utakuwa na bahati mbaya. Mkosi huo. Kemea.