Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,596
- 30,897
Nilikuwa natazama luninga jana, kikao cha wakuu wa nchi za Madola.
Tanzania inawakilishwa na mama Samia Salum.
Katika picha ya pamoja wala sikumuona katika line up.
Mama Samia kiitifaki alionana na Prince William an insignificant ceremonial figure, ambaye kiitifaki hana uzito wowote kiutendaji.
Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini, alionana na kupokelewa na Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza, mtendaji namba moja Uingereza.
Ingawaje nimeona Guardian vile vile mama kapeana mkono na mama May.
Kidiplomasia na kiushawishi , Tanzania tumeanguka sana.