Kidato cha tano kuanza kuripoti 22/07/2013.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Wale madogo mnaosubiria posts anzeni kujianda maana mnatakiwa shuleni tarehe tajwa hapo
source;jikoni zinapopikwa posts.
 
Kiongozi wajiandae vp! Na post hawajatumiwa! Au huu mwaka wanajiamulia shule unayotaka unaenda!!!, Nahic hilo jiko nilile wanaloandalia VIROBA!
 
Kiongozi wajiandae vp! Na post hawajatumiwa! Au huu mwaka wanajiamulia shule unayotaka unaenda!!!, Nahic hilo jiko nilile wanaloandalia VIROBA!

Ha ha ha ha ha ha ha.. Mkuu hapo umenivunja mbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom