Kwahyo wakampa na chopa aendeshe kabisaHapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.
Hapana, pilot ndio kazi anayoipenda. Hivyo alikuwa anajaribu kuvaa zile headphone. Kabla ya kuelekea nyeriKwahyo wakampa na chopa aendeshe kabisa
HahahhaahhaHizi sasa sifaaa
Uko vizuri mkuu.Hapo ni kwa Mzee ya kisumu. Hiyo Dogo ndie aliyeongoza kwenye mtihani kwa kupata maksi 372. Alafu wazazi wake wakakosa pesa za kumpeleka shule , hivyo kikundi cha marubani Wa zamani, wakajitolea msaada Wa kumpeleka shule pamoja na kumlipia ada.